Nmejikuta leo namkumbuka uyu mwanadada ambae alitokea kujizolea umaarufu sana kipindi kile Mjomba katuacha bila kutuaga!!
Kuna yoyote mwenye taarifa zake?
Alafu vp me naona kama yupo hai ingekuwa poa kama balozi akiungana nae wakapiga combination moja nna Imani watasepa na kijiji Chao!
Naam!
nmeota hivyo leo Mchana kipindi nmepitiwa Usingizi Baada ya kushiba ugali wa mtama na nyama ya kuchoma apa Stendi ya Nyamhongolo Jijini Mwanza Nikiwa safarini kuelekea kumsindikiza mgombea mwenza!
Ndoto yangu imenionesha hakuna namna nyingine ya kufukuza huu upepo tofaut hiyo ya...
Wakuu hawa jamaa hii michezo Hawajaanza leo ni tangu miaka na miaka uko nyuma! Kwahiyo ata Aya yanayosemwa sasa ni marudio tu na ni kama hawa jamaa hii michezo washaizoea!
Nikiwa Mwanafunzi wa darasa la 4 mkondo A pale shule ya msingi Nyamanoro, nakumbuka tulisombwa kwenda CCM kirumba tena...
Kidogo nmeanza kuelewa ule msemo kwamba green and yellow wameishiwa mbinu kwa sasa na nadhani katika zile mbinu tulizoambiwaga kwamba jamaa wana mbinu takribani 1000 za kushinda Uchaguzi! Itakuwa hii ndio mbinu ya mwisho kabisa!
Iko hivi! Baada ya balozi kutoka na kumwaga mchele kwenye kuku...
Kiukweli nasikitika sana kuona kadri miaka inavyoenda Jukwaa hili linazidi kuwapoteza watu ambao ni Great Thinkers na badala yake Jukwaa kwa sasa lmejaa watoto ambao ata kung'amua michezo kama hii wa nashindwa!
Iko hivi,.
CCM wa nachokifanya ni kuwaengua wale watu ambao walipata kura nyingi...
Habari ya jion wanajanvi.
Ningependa kujua alipo gwiji uyu wa siasa apa Tanzania na ni lipi neno lake kuhusu kesi hii ya Lissu na hususan baada ya taarifa ya leo kuhusu wale waitwao mashahidi wa siri.
Je wakiangalia nchi nayotokea Tanzania na nkaomba ukimbizi Inakubaliwa? Naomba nieleweshe kwa kina mkuu ili swala mana n a ndugu yang alwahi fanya kazi kambi ya igoma naeza mtumia kupata hyo inshu.. Ila naomba nipe njia ya jinsi uo mchakato ulivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.