jamani tunafanya siasa ni sawa,lakn lengo kama ni kuwatetea watanzania kwanini tunawaua kwa mabomu ili tukishinda tuongoze makaburi au?????????? kwanini hatukubali walau kukaa chini na kushirikisha ubongo wetu walau kwa nusu saa kwa siku,???????kila kitu tunaruhusu watu wafikirie kwa ajiri...
kuna wakati uwaga nakaa chini natafakari kwa kina nashindwa kupata majibu!!!!!! Kwanini mtu udhalilishe fani yako kwa ahadi,tanzania tangu ipate uhuru ni zaidi ya miaka hamsini lakini,elimu hoi,afya hoi,maji hoi,nishati hoi,miundo mbinu hoi,umaskini wa kutupwa.........lakini baada ya vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.