Recent content by obholondo bhopena

  1. O

    Magesa Mulongo: Atoa maneno ya hekima na busara mno.

    Magesa huyu huyu.... huyu jamaa hatabiriki kabisa!!! wana-Arusha wanamfahamu vyema... labda 2015 inawezakuwa imeanza vyema na yeye.. Kila la kheri Magesa
  2. O

    Kuimarika kwa CCM ni mwiba kwa Upinzani

    upinzani ni vyema kujipanga vyema tena mapema maana mwishoni mwa mwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa na hatimaye uchaguzi mkuu mwakani! ila kwa sasa siasa za chama kimoja kimoja (upinzani) zimeanguka kwa kasi saana kiasi cha kutegemea nguvu nyepesi ya UKAWA ambayo kwa namna moja au...
  3. O

    Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    Bila kuwasahau wale wootee wa Biashara ya rejareja kama alivyotanabaisha mkuu wa nchi
  4. O

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    ulipotumia neno "REVEALED" tulitarajia utakuwa na ushahidi wa kutosha! kumbe ni walewale......
  5. O

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    napata mashaka saana na uwezo wa mwandishi wa hii mada kama ulikuwa unafahamu kitu gani ulihitaji kutuletea hapa! na bila shaka hata njia uliyotumia kuandika hadithi yako ya kusadikika hukujipanga, ila ulikurupuka! kwanini? 1. kwakuwa hadithi yako ni mfululizo wa habari na matukio ya maisha ya...
  6. O

    Tathmini yangu baada ya uchaguzi mdogo Chalinze

    Inaonekana nguvu ya Mh. EL inakunyima usingizi mleta uzi huu.... jipange upya kwa tathmini nyingine kipenga kitakapopulizwa rasmi!
  7. O

    Tamko la awali la CHADEMA kupinga uchaguzi mdogo wa Chalinze

    hoja ya ongezeko la wapiga kura halina mashiko! wakati mwingine inabidi CHADEMA iwe inakubali kushindwa pale ambapo hali na mazingiza vinajionyesha dhahiri! kuna umuhimu wa chama hiki kujipanga upya kama wana dhamira ya dhati kabisa kushika hatamu miaka ijayo!
Back
Top Bottom