Habari zenu wakuu,
Hivo nahitaji kujua kuhusu kipato cha mtandao huu mpya wa Taxify, hivo njia gaani wanayoitumia hii kampuni kupata mshiko wao maana nimefanya survey ya boda boda wengi maelezo yao ni kwamba hawalipi njia yeyote kwa hawa watu(taxify) na ila bonus(Tshs 40,000) hawa boda boda...