Nchi inaendeshwa kwa sheria na taratibu na si mabavu kama unavyotaka wewe. Subiri nawe uje uwe rais uendeshe nchi pasipo kufuata sheria na masikizano. Uje utumia mabavu pekee
Ni sahihi. Lugha ya Kiarabu ni moja ya Lugha rasmi hapa kwetu kwa sababu ipo katika mitaala rasmi ya nchi. Ni moja ya somo / Lugha ambayo hutumika mashuleni kwa wanafunzi ku-specialize kama mchepuo na kuwa na wataalam na wazungumzaji ndani ya nchi. So kiarabu, Kifaransa, Kichina, na Kiingereza...
Na wakifanya hivyo, mnufaika atakuwa Znz coz wao wanaunafuu mkubwa wa kodi bandarini. Halafu bandari ya mapato yote ni yao hakuna DP World kule. Sasa mizigo mingi itashukia zenji. Huku para sasa patakuwa ni geti tu la watu kutolea mzigo wao. Chao chao, chetu chao
Na kuanzia hapo ndio bidhaa za Zenji zitakapopaa bei zake. Kwa sasa wenzetu bidhaa zao ni nafuu sn ukilinganisha na zile za bara hasa vifaa vya electronics kam Tv, Computers n.k. Wazee wa kazi wakishatia maguu, sidhan kama hali itabakia kama sasa
Na vipi kama angeenda na hao abiria 230, unajua gharama ya comvoy hiyo yote kuwalipa ingekuwaje? Je umejiuliza pia capacity ya magari yao ni watu wangapi na huwa wanakaa wangapi wanapokuwa kwenye misafara?
Unadhani ikiuzwa, utapaa mgao wako halali sawa na waliokule juu? Mgao wako ukiwa pesa ya kujenga ghorofa, utapewa laki ukajenge msonge wa tope kijijin kwenu.
Kwani wewe katika maisha yako umewahi kumtaja nani kwa ufisadi? Kwa maelezo tu hayo aliyosema wewe unaweza simama in mahali popote hata mtaani kwako tu ukayasema mbele za watu? Je umesahau orodha ya mafisadi aliowataja Lissu pale mwembe yanga akiwemo PM wa zamani? Kwa sasa hivi hakuna mpinzani...
Hivi kuna vyuo vinatoa kozi za uchawa? Nahisi we jamaa una PHD kwenye hiyo kozi. Hizi sifa ungekuwa wazitoa kumtukuza Mola wako, basi pepo kwako ingekuwa wazi sana. Unaijua sana kazi yako ya kusifu na kupamba wanadamu. Wanakulipa kiasi gani?
Wewe mwenyewe pia Kiswahili hapo kimekuchenga. Umeshindwa kubaini ngeli sahihi iliyotumika. Ukisema mtu "amepangiwa" ina maana hilo tukio limeshatokea tayari. Taarifa haisemi kuwa "atapangiwa majukumu mengine". Ila wewe unaaminisha watu wasubiri kuwa atapangiwa tena huenda pazuri zaidi. Hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.