Recent content by NzundaFuraha

  1. NzundaFuraha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sababu za wananchi wengi kufuatilia uteuzi wa wagombea CCM Licha ya uwepo wa NoReforms NoElection

    1. Kusubiri kuona CCM ikipaduka vipandevipande baada ya fitina na kuengukiwa kwa vigogo 2. Kuonesha wanaoitwa Chawa namna wanafanywa na wajumbe? 3. Kuonesha picha ya namna Bunge lao endapo watalazimisha uchaguzi kufanywa litakavyokuwa?
  2. NzundaFuraha

    JamiiForums Tanzania Marekani: Donald Trump ashtakiwa kwa makosa 34

    Trump hata kabla ya kuwa rais wa Marekani anazo tuhuma au madoa mengi sana hivyo hata haya kwake anaona ya kawaida. Na inaweza kuwa moja ya silaha zake kuelekea uchaguzi wa urais
Back
Top Bottom