Bahati nzuri, watoto wengi huanza shule wakiwa wamevuka umri wa kujinyea labda itokee kitoto kinaumwa. Na ikitokea hivyo mzazi hushirikishwa, kazi ya ualimu sio laana ni kazi za kitume. Mitume wote wa Mungu walikuwa ni walimu!
Siku moja nilidownload App ya CRDB nilijua ni mambo ya Equity bank, unaingia bure, unatoka bure. Due! Kumbe ukiingia tu wanakata JERO sijui. Equity App ni bure. Muda wote unachungulia salio lako bando lako tu
Equity kama upo Darisalama ni bank bora sana. Lakini mkoani huwezi kuimudu! Equity nimetumia sana ni bank nzuri hakuna makato ya hovyo kama CRDB. CRDB kila mwezi hunitumia statement Mara maintenance 300, nini fees 1500, kitu cha mtume 2000, ni wizi sana
Nimesoma mwongozo wao very interested! Labda niambie visa bei gani, nauli ya ndege bei gani na hotel za kufikia kwa siku bei gani huko Paris, assimilation method?.
Nafikiri ni vizuri kwenda visit visa lako tu, maana ukiwa kule utapata kazi aghalau ipo maslahi kuliko kusafirishwa na urgent.
Urgent sio wazuri sana, watz sio wengi lakini sababu kubwa ni uoga na sheria pia inabana sababu hurusiwi kwenda kufanya kazi nje ya nchi.
Nimependa huu mjadala. Mimi pia mmoja wa watafuta ajira hasa Dubai. Dubai kwa sababu girlfriend yupo huko. Nimeanza kutafuta connection 2019. Agent wengi Bongo nishaongea nao. Hela watataja ni kubwa sana 1000 USD. Kuna mmoja nilimpata akapunguza ikawa 800 USD. Nilikubali akaanza process matokeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.