Recent content by Nzowah Auto Garage

  1. Nzowah Auto Garage

    JamiiForums Tanzania Je nimeharibu gari kwa kuliendesha huku taa ya oil ikiwaka?

    Inakuja kwenye dumu.la.lita 20 Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
  2. Nzowah Auto Garage

    JamiiForums Tanzania Je nimeharibu gari kwa kuliendesha huku taa ya oil ikiwaka?

    Ni special kwa nissan Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
  3. Nzowah Auto Garage

    JamiiForums Tanzania Je nimeharibu gari kwa kuliendesha huku taa ya oil ikiwaka?

    Hii oil inaitwa matic j Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
  4. Nzowah Auto Garage

    JamiiForums Tanzania Muda wa kukamilisha usajiri wa gari

    Network ikiwa, nzuri TRA, haichukui muda,
  5. Nzowah Auto Garage

    JamiiForums Tanzania Muda wa kukamilisha usajiri wa gari

    Masaa, machache
  6. Nzowah Auto Garage

    JamiiForums Tanzania Land Rover Discovery 4 - Mega thread

    Mjapani katuteka watanzania
  7. Nzowah Auto Garage

    JamiiForums Tanzania Land Rover Discovery 4 - Mega thread

    Samahani nami nilikuwa mbali na mtandao watanzania tuna kasumba Maadam tumezoea toyota basi gari zingine tunaziponda discover gari nzuri sana kwa safari na mafuta pia spare zipo na ukinunua utafanya service ya kawaida tu kwa muda mrefu
  8. Nzowah Auto Garage

    JamiiForums Tanzania Je nimeharibu gari kwa kuliendesha huku taa ya oil ikiwaka?

    Mfano Geabox ya automatic ya Nissan x _trail inauzwa lita 40,000hadi 45,000 ukiambiwa unasema bei kubwa weka ya kawaida fundi anakuwekea asiejua baada muda Geabox inakufa tafadhari pata ushauri sio wote wanaoweka oil na kumwaga wanajua
  9. Nzowah Auto Garage

    JamiiForums Tanzania Je nimeharibu gari kwa kuliendesha huku taa ya oil ikiwaka?

    Mafundi wanaua engine za magari na geabox bila kujua ni oil gani au atf gani ya kutumia
  10. Nzowah Auto Garage

    JamiiForums Tanzania Je nimeharibu gari kwa kuliendesha huku taa ya oil ikiwaka?

    Kuweni makini na oil mnazoweka kwenye gari kila gari ina oil yake ukiweka oil ya kawaida kwenye vvti lazima isumbue
  11. Nzowah Auto Garage

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Toyota Cami

    Spare zipo ni gari nzuri ukitaka kuuza inachukua muda sana
Back
Top Bottom