Recent content by nzilani

  1. N

    JamiiForums Tanzania Neck massager

    Jamani naomba kuuliza wapi naweza kupata neck massager Hapa dar Es salaam
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nguo za kike:sketi na blauzi

    Naomba kuuliza ni wapi naweza pata sketi na blauzi nzuri aina mbalimbali za kiofisi. Asanteni.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Scholarships, Msaada Plz!..

    Ungeweka na link ya hizo programmes ingeasaidia zaidi kupata majibu ya kujitosheleza.Weka link mkuu.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kazi Halliburton

    Naombeni msaada kwa anayefahamu namna ya ku apply/kupata kazi Halliburton.Nimesikia jumamosi watakuwa UDSM kwa Interview ya recent graduate na Finalists kwa aliye na info zaidi atusaidie.
  5. N

    JamiiForums Tanzania msaada aptitude test tigo

    Huwa yanakuwa maswali 50 ambayo unapaswa kuyafanya kwa dk 12 tuu.Baada ya hapo ata mark kwa kalamu nyekundu ni wapi kila mtu ameishia halafu mtapewa unlimited time hadi mmalizie maswali ambayo hamjafanya.Maswali yenyewe ni general qns ila mostly hesabu plus mengine ya kitechnical zaidi.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya Aluminium windows

    Naomba kuuliza mtu ye yote anayejua bei ya Aluminium windows plz. Thanx.
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 16 weeks pregnancy

    Jamani tatizo lenyewe ni appendix ambayo inabidi kufanyiwa small operation kabla haijapasukia tumboni.Kwa sasa kuna dawa ambazo nimepewa nizitumie kwa siku 5 baada ya hapo ndo swala la operation litafuata.Wanadai kufanya operation kwa mjamzito ni hatari!
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 16 weeks pregnancy

    Si mwanafunzi nimemaliza chuo mwaka juzi na nimeshaolewa .
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 16 weeks pregnancy

    Thnx mwathu. Huyo Dr hana utaalamu wa utoaji japo pia alinielekeza kwa dr mwingine ila dhumuni langu lakuomba ushauri JF ni kwa sababu nina Imani wapo watu wanaojua na wenye utaalamu ambao pia wanaweza kunisaidia. Hata hivo nimeolewa na sina tatizo na ndoa yangu siwezi kuamua tu kutoa mimba...
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 16 weeks pregnancy

    Hi to all JF Members. Nina Mimba ya wiki 16.Ila kutokana na hali yangu kiafya kwa sasa(Kuugua sana) daktari wangu ananishauri kuwa niitoe la sivyo naweza kufa mimi endapo tatizo litaongezeka.Swali ni kuwa Je ni salama kutoa mimba ya wiki 16???Na ni wapi sehemu inayoaminika(Hospital au sehemu...
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I am pregnant but my husband does not want the baby..

    Very sorry for u bidada.
Back
Top Bottom