Recent content by nziku.e

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nani zaidi: Rose Muhando vs Bahati Bukuku?

    rose muhando ni muhubiri,mnaomsema vibaya hamjajua nini anafanya.nampenda sana.waimbaji wote wanaimba huku wanalia yeye anakwambia hatumo miongoni mwa watu wenye mashaka! safi sana!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nani zaidi: Rose Muhando vs Bahati Bukuku?

    hello! mimi nawapenda wote.tatizo ukiniambia nichague nikimuache rose muhando nitakuwa nimejinyima haki. Rose muhando ni overall. Sababu Ujumbe wake unachoma mno.watu wengi siku hizi wanapenda nyimbo zinazo fariji tu,tatizo rose ni muinjilisti.mfano.uwe macho!! mzinzi endelea kutena dhambi...
Back
Top Bottom