Recent content by Nziiri sr

  1. N

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Rais Samia wazidi kumulikwa kimataifa: Deutsche Welle

    Mlipompiga risasi mlikuwa hamjui uhuru wa kikatiba?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nani anamdanganya Rais Samia kuwa kati ya Watanzania mil 65, ni milioni 2 tu wanaolipa kodi?

    Yeye ni mmoja wa hao milini 63 ambao hawalipi kodi sasa anashangaa nini?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakataa maombi ya Serikali, Dhamana ya Boni Yai sasa kutolewa Oktoba 7, 2024

    Labda lengo asiweze kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, asije akapata udiwani eventually umeya.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ajali zinaepukika tukiacha siasa

    Unatafuta kulogwa 🤣🤣🤣
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais wetu kwanini shule za maeneo ya mjini Arusha ni wanawake? Mama mpumzishe Mchengerwa

    Mada inahusu waalimu sio wakulima. Kwa nini hao vibosile wasiache wake zao wakalime huko vijijini?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Muslim University of Moro: Centre of Excellence!

    🤣🤣🤣🤣🤣 Hata vyuo vya kule Iran, Indonesia etc navyo ni hivo hivo?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alilewa madaraka, akaagiza Polisi Tanzania wamkamate Edward Lowassa awekwe Korokoroni

    We kama alikutia mimba shauri yako. Umeshajifungua?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwabukusi kujumuishwa kwenye jopo la Wanasheria kesi kampuni ya Tigo Mahakamani London

    Sababu mahakama za bongo huwa zinafuata 'maelekezo'
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia uliomba ripoti ya "haraka" kuhusu utekaji nchini! Haraka ni muda gani?

    Hivi alishapewa taarifa ya uchunguzi wa miamala iliyofanyika benki kuu kati ya January na March 21 kama alivyoagiza?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

    Bado uko na nadharia za yule jinga?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kutokufanikiwa kwa maandamano ya CHADEMA: Uhalisia wa maandamano yasiyo na nguvu kwa maslahi ya wananchi

    Mwanamke gani huna aibu kiasi hiki! Au hujui taifa limepoteza rasilimali kubwa kiasi gani bil a sababu kuvunja maamdamano ambayo ni haki ya kikatiba?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Vita Ukanda wa Gaza: Msimamo wa Tanzania wakati wa Rais Nyerere, Magufuli na sasa

    Hapa umekengeuka. Israel iliyoandikwa kwenye hicho kitabu sio hii Israel inayofanya mauaji makubwa kwa Wapalestina.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Halmashauri kuu ya KKKT Dayosisi ya Kaskazini, someni hapa!

    Weka rejea (reference). Navojua katoliki tuna: ubatizo➜ komunio➜ kipaimara➜⁠ ndoa/daraja➜ kitubio➜ mpako wa wagonjwa. Sakramenti saba hizo, tatu za mwanzo zinatolewa kwa wote kwa mfuatano huo. Lutheran sijui sana.
Back
Top Bottom