Recent content by Nzelu za bwino

  1. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya Kwanza Katika Historia ya Tanzania, Sekta ya Kilimo Imeongiza kwa Kushika namba Moja Kuchangia Zaidi Ukuaji wa Uchumi (GDP)

    Hao ma billion ya watanzania wengine wanaishi wapi?!ila naipongeza serikali ya rais Dr samia suluhu Hassan kwa kuendeleza kilimo kwa kiwango kikubwa sana.maana sisi wakulima tumeyaona huku tuliko.
  2. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Mbolea ya CAN inawekwa baada ya muda gani katika mmea?

    Vp kwenye zao la kahawa inafaa kuweka wakati gani?
  3. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Kazi kubwa tatu muhimu zilizo mbele ya uongozi Mpya wa CHADEMA

    Salaam wana jukwaa, Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kushuhudia UCHAGUZI WA kihistoria ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo. Pia nichukue nafasi hii kumpongeza mh Tundu Lissu kuchaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa CHADEMA. Nampongeza mh John Heche kuchaguliwa kuwa makamu...
  4. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Lissu ashauriwe kama ana ndoto za kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ni Karata yake muhimu sana asimuache

    Alisema aliamua kugombea nafasi ya mwenyekiti BAADA ya kuona wenje amechukua ya makamu mwenyekiti.ina maana uwenyekiti hakujipanga kugombea ila imekua ghafla tu.
  5. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Je chadema kutoweka ukomo wa kugombea nafasi ya uongozi walikosea?

    Salaam wana Jamvi,ninavwatakieni jumapili njema yenye baraka tele.baada ya kusema hivo,hebu nirudi kwenye mada yangu.kumekuwa na shinikizo kubwa sana la watu kutaka chadema wa badilishe kifungu kwenye katiba Yao kina cho ruhusu mtu kugombea nafasi yoyote bila ukomo mpaka wanachama watakaposema...
  6. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mimi ndio mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama, ningeanza na hili...

    Salaam wana Jamvi.kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kunipa nafasi ya kukutana na nyie hapa Leo .nirudi kwenye mada yangu Mimi ningekua ndie mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama ningeanza nayafuatayo. 1.badala ya kuituhumu ,Mimi ningeipongeza kamati kuu kwa kusimamisha kidete ,na...
  7. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu kuwa sahihi muda wote?

    Unathibitishaje hiyo kauli ? Maana umeambiwa tu ,je zaidi ya hayo maneno Kuna ushahidi wa ziada usio tia shaka kuthibitisha hayo maneno?
  8. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu kuwa sahihi muda wote?

    Thubutu
  9. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu kuwa sahihi muda wote?

    A Amina na kwako pia mkuu
  10. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu kuwa sahihi muda wote?

    Katajwa wapi mbowe ?
  11. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu kuwa sahihi muda wote?

    Salaam wana bodi ,kwanza niwatakieni siku kuu njema ya krismas na heri ya mwaka mpya wa 2025.nirudi kwenye madam yangu.hivi inawezekana mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ,kuwa sahihi wakati wote,kwenye jambo lolote,kwenye kunena kote,kufanya mambo yake yote na kuishi kwake kote bila kuwa na...
  12. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, Mimi nimgeni kwenye kilimo cha kahawa

    Nashukuru sana
  13. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, Mimi nimgeni kwenye kilimo cha kahawa

    Hapana kaka hata wewe unaweza kunipa dondo kadha kwa mfano,mbegu nzuri,aina ya mbolea ya kukuzia nk. Nashukuru kaka Kwa msaada
  14. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, Mimi nimgeni kwenye kilimo cha kahawa

    Hapana kaka hata wewe unaweza kunipa dondo kadha kwa mfano,mbegu nzuri,aina ya mbolea ya kukuzia nk.
  15. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, Mimi nimgeni kwenye kilimo cha kahawa

    Nipo songwe kaka
Back
Top Bottom