Recent content by Nyumban1998

  1. N

    JamiiForums Tanzania Je Israel imeshindwa kuwaokoa mateka?

    Kama kuandika tu shida sizani kama tutakua timamu upstair
  2. N

    JamiiForums Tanzania Russia waionya Israel isijaribu kushambulia Iran na Syria

    🤣🤣Ila wazayuni wanapingana mpaka na law's of physics hivi wanaelewa hata maana ya trajectory na velocity hivi Missiles unaibadilishaje mwelekeo uku ikiwa imesha ingia kwenye airspace yako afu irudi ilipotoka 🤣
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Biden amsihi sana Netanyau asishambulie vinu vya nyuklia vya iran

    U meisha sema inasemekana na kiukweli iyo propaganda ya technology Israel imeupiga mwingi 😁 🤣 maana ndio hoja kuu ya waisrael wa mbagala chalambe
  4. N

    JamiiForums Tanzania Russia waionya Israel isijaribu kushambulia Iran na Syria

    Mbona unachekesha hiyo technology ya ku redirect umesikia kijiwe gani mkuu
  5. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

    Kwa mawazo hayo nakubali hili'Jinga lao" kweli kweli kama ilivyo profile name yako
Back
Top Bottom