Recent content by nyonyodawa

  1. N

    Hatimaye FRELIMO iko matatani, mwisho wake umefika!

    Maji ya shingo kiburi chote kwisha
  2. N

    Ikulu Imefanikiwa Kudhibiti Kabisa Uvujaji wa Taarifa Zote Nyeti na Za Siri.

    Wewe Fala unajua kinachoendelea 🇲🇿 anza kutia maji kichwa chako
  3. N

    Israel wapo tayari kutatua tatizo la maji Tanzania

    Yaani tujaribu kuangalia Ramani ya Tanzania ilivyo na mito na maziwa halafu unapanga kutumia maji ya baharini kwakweli CCM must go
  4. N

    Hatimaye FRELIMO iko matatani, mwisho wake umefika!

    Mwamba Venancio Mondlane anayeongoza inchi kutoka mafichoni amesema kesho maandamano yanaendele kama kawaida,na Rais wamesusia kwenda kuangalia mechi ya Mamba yaani Timu ya Taifa ya Mozambique dhidi ya Mali huku wakisema Maandamano au kuikomboa inchi yao ni muhimu kwanza kuliko mpira
  5. N

    Israel wapo tayari kutatua tatizo la maji Tanzania

    Wakati wenzetu wa Mozambique kwa kupitia Rais wao mtarajiwa Venancio mondlane wakipiga hesabu baada ya miaka 4 uchumi wao kupanda baada ya kuuangusha utawala mbovo wa Frelimo sisi tunafikilia misada
  6. N

    Hatimaye FRELIMO iko matatani, mwisho wake umefika!

    Kinachofurahisha binadamu ni wasaliti sana hakuna hata mtu mmoja anayeitetea Frelimo wala hata kuvaa nembo zake kipindi hiki mitaani,huku ofisi zake zikichomwa kila siku,kweli kifo kikikufikia hata marafiki zako hutawaona ili mradi ufe nao,utakufa peke yako
  7. N

    Hatimaye FRELIMO iko matatani, mwisho wake umefika!

    Yaani Yaani kwa ninayoyaona huku kwa Tanzania bado sana,yaani hata wa kusimama kuitete Frelimo hakuna zaidi ya Polisi wanaotumwa kwenda kutawanya raia huku chuki ikizidi kupamba moto kila anapouwawa raia dhidi ya selikali Mfano kunatukio nimeliona katika mji wa Nampula ni wakorofi kama mbeya...
  8. N

    Hatimaye FRELIMO iko matatani, mwisho wake umefika!

    Yaani ninavyoona nguvu ya Umma ya watu iliyoko huku Viongozi wa chama tawala wataanza kukimbia mmoja baada ya mwingine kwa ajili ya kusalimisha maisha yao,hapo Huyu Mpinzani atajiludia kiulaini kuja kuunda selikali yake ya mpito
  9. N

    Hatimaye FRELIMO iko matatani, mwisho wake umefika!

    Tatizo la Tanzania CCM inaongoza maiti,ukitaka kujua watu wanajitambua ni kama huku Mozambique watu wanaimba wanakwambia hatuwezi kuwa wapangaji ndani ya inchi yetu Nimeamini nguvu ya uma wakiamua hakuna lisiloshindikana
  10. N

    Hatimaye FRELIMO iko matatani, mwisho wake umefika!

    Tatizo wanapenda sana rushwa na wavivu.kuna sehemu ndani ya Mozambique inatumika shilingi ya Tanzania na wanaongea kiswahili na kalibu raia wa maeneo husika ni wa makabila tofautitofauti kutoka Tanzania Yaani unakutana na wachimbaji madini, wanunuzi wa dhahabu mama ntilie mpaka...
  11. N

    Hatimaye FRELIMO iko matatani, mwisho wake umefika!

    Yaani mi Yaani kila mwananchi kawageuka,maana hii inchi maisha ni magumu sana lakini Viongozi wanaishi kama wako peponi,huduma ya Afya mbaya,Elimu ndiyo usisema kama siyo mwanachama wa Frelimo huwezi kupata kazi labda uhonge Naona wanavuna walichokipanda kila mtu hawapende ingawa ni ngumu kwa...
  12. N

    Trump: Kichekesho ni kwamba Africa ilikuwa tajiri kuliko China lakini Leo Africa inaongoza kwa Omba Omba wanaotegemea Uchina!

    Umasikini wa waafrika unasababishwa na Viongozi walioko madarakani,kuwa wezi wa rasilimali za inchi
Back
Top Bottom