Recent content by Nyongisezigzig

  1. N

    JamiiForums Tanzania Moshi mweupe kesi ya Sabaya

    Katika comment za hovyo kutolea mwaka huu hii Ni namba moja. Huyo diwani wa ccm Ni chadema? Hizo Kodi za miamala zinaangalia chama? Kweli kichwa hicho Ni fuvu lililosafishwa kwa sabini na jik ili isibaki harufu hata ya ubongo. P..bafu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

    Hela atachukua Ni haki yake Ila kuunga mkono juhudi. No
  3. N

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Hayati Magufuli alikuwa shujaa wa kizamani

    Wewe ndio umesahau. JPM alioeleka faini wakati wananchi walishamlipia, all in all Msigwa kasema ukweli mtupu bila kumung'unya maneno kwa mifano hai. Shujaa wa aliyepitwa na wakati
  4. N

    JamiiForums Tanzania Waziri azifunga leseni za Madereva wa Mabasi 10 kwa kuendesha speed 125 kwa saa. Aagiza washtakiwe

    Kweli umefikiri kabla ya kuandika au? 125kph Basi lililojaa abiria ? Kwanza 3 michache wangefutiwa kabisa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

    Dah Mungu ni wetu wote. Huu ni uroho uliopitiliza.
Back
Top Bottom