Recent content by nyomoki

  1. N

    Fundi wa SONY home threater WATT 500

    Hometheater aina ya Sonny. Ni ndogo tu ya watt kati ya 300 _500. Ina muda zaidibya miaka mi3. Na haikuwah sumbua. Ila siku 2 hizi imenigomea. NIKIIWASHA INAISHIA KWENYE "HELLO" haimalizi na kuingia kwenyw kutoa sauti. Inaganda hapo hapo kwenye helow. Naishi Dar es Salaam, mitaa ya Banana ukonga.
  2. N

    Jipatie Mabati ya sunshare

    Hizo bati za urefu nitakao, unauzaje kwa kipimo?
  3. N

    Mtu mzito, Mshana Jr

    Nna swali. Juzi mdogo wng ameota ndoto za paka mtu, siku ikafuata akahis kuchomwa na kitu sehem ya mbavu. Akaamka akaangalia usalama wa kitandan anasafisha akalala. Akawa anajikuna. Akamuomba mwenzie aangalie kama ni lengelenge au nn, wakaona amewekewa alama ya namba 9 ukiisoma mtu. Lkn alieumia...
Back
Top Bottom