Alinipa sababu zote za kunifanya nimpende na nilimpenda kwa kwel tatizo likaanza baada ya kuingia kwenye mahusiano kumbe alikua na mwanamke mwingine aliempenda zaid baada ya kugundua hilo niliumia sana kwa kua nilimpenda niliamua kuvumilia huyo Dada yy alikua mkoa mwngne ila wakawa wanawasiliana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.