Recent content by Nyete

  1. N

    Kuna kampuni kubwa Dar inatiririsha kinyesi cha binadamu porini karibu na makazi ya watu

    Tatizo hawa watu wamesha ambiwa lakini wanafanya dharau
  2. N

    Kuna kampuni kubwa Dar inatiririsha kinyesi cha binadamu porini karibu na makazi ya watu

    Wakuu ni matumaini yangu kuwa hhamjambo!Naomba kama kuna afisa au bwana Afya aje inbox nimpe dili kuna kampuni moja kubwa tu hapa mjini Dar inafanya uchafuzi wa mazingira kwa kutirisha kinyesi cha binadamu porini karibu na makazi ya watu uki waambia wanafanya dharau ndhani ni kiburi cha...
  3. N

    kiwanja kinauzwa

    Wakuu habari za j'tatu! Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa hatua za za miguu upana 19 urefu 20 bei ni mil 5 kipo Barbara ya kwenda madale kwa kawawa kilomita 1 kutoka kiwanda cha saruji cha twiga-wazo hill mawasil 0765544795 karibuni
  4. N

    Kiwanja kinauzwa Kunduchi

    Mkuu SMS inaingia mud a wowote hata kama cm imezima hiv yo nikiwasha naikuta ndio ilikuwa maana yangu Asante
  5. N

    Kiwanja kinauzwa Kunduchi

    Mkuu nitajitahidi kufanya hivyo
  6. N

    Kiwanja kinauzwa Kunduchi

    Mkuu m10 ni pesa lakini bado haijafikia thamani ya kiwanja hiki
  7. N

    Kiwanja kinauzwa Kunduchi

    Mkuu kuanzia kwa Mjumbe mpaka seriali za mitaa no mashahidi kuw ni Mali Yangu .kuhusu mashimo hapa no tambalale no vizuri ukafika ukajionea jinsi palivyo wenye pesa wanashusha mijengo no balaa
  8. N

    Kiwanja kinauzwa Kunduchi

    Mkuu kama Mimi ni tapeli peleka ushahidi mahakamani au polisi vyombo hi yo vipo kwaajiri ya kushughulikia matapeli kama sisi Asante
  9. N

    Kiwanja kinauzwa Kunduchi

    Mkuu unapata lakini kinakuwa kidogo unajua hapa baada ya mchimbo kuisha wale wachimbaji wadogo Dogo waligawana kila mmoja akajimilikisha eneo alilokuwa anachimba hi yo ukitaka kikubwa unanunua tuviwanja kadhaa Keisha unaunganisha lakini hiking ni cha pamoja si cha kuunga
  10. N

    Kiwanja kinauzwa Kunduchi

    Mkuu katika sentinsi yako ulitaja mane no yafuatayo "unataka kuwapiga watu we we" ukimaanisha kutapeli watu
  11. N

    Kiwanja kinauzwa Kunduchi

    Mkuu we we ulinielewa vizuri asante
  12. N

    Kiwanja kinauzwa Kunduchi

    Mkuu kiwanja sio fungu la nyanya kusema uuziwe bila kufuata mambo ya kisheria
  13. N

    Kiwanja kinauzwa Kunduchi

    Mkuu meko ni hapa ambako kulikuwa na machimbo ya mawe machimbo yalipoisha 2008 wananchi wakafanya makazi yasiyo rasmi lakini juzi mstahiki meya wa halimashauri ya wilaya ya k'ndoni amemaliza utata wote kwa kuruhusu watu waendelee name ujenzi wa makazi kwani kabla eneo hili lilikuwa Mali ya...
  14. N

    Kiwanja kinauzwa Kunduchi

    Mkuu meko ni hapa ambako kulikuwa na machimbo ya mawe machimbo yalipoisha 2008 wananchi wakafanya makazi yasiyo rasmi lakini juzi mstahiki meya wa halimashauri ya wilaya ya k'ndoni amemaliza utata wote kwa kuruhusu watu waendelee name ujenzi wa makazi kwani kabla eneo hill lilikuwa Mali ya...
  15. N

    Kiwanja kinauzwa Kunduchi

    Mkuu hiki bado hakijapimwa
Back
Top Bottom