Recent content by NYEPESI

  1. N

    Hadithi Ya Mvuvi Masikini

    Kweli imekaa vzr!! Mali zina pofusha macho, upendo unapotea, amani hakuna tena! Mzee hii nimeikubali japo si vzr kutafuta mali kwa wachawi!!!!
  2. N

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Ni vyema jambo hili liangaliwe kwa umakini sana. CDM wasikurupuke kutoa maamuzi. Niliipenda sana kauli ya mheshimiwa Mbowe. Tuwape muda wakae kwanza. Vilevile hata CCM nao waangalie, kama uchaguzi ukirudiwa alafu wakashindwa tena, itakuwa pigo kwao. Watazidi kupotea ktk siasa...
Back
Top Bottom