Recent content by nyegere86

  1. nyegere86

    Jeshi la Polisi wameongeza muda wa kuomba kazi hadi 26.05.2024

    Msaada kwenye ku upload cv na kwenye kuadd elimu ya bachelor. Kuna dogo namsaidia hapa naona bado ina error. Wenzetu mmewezaje?
  2. nyegere86

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wale wa inplay hii game ya simba iinatoa over 5.5 goals tulipuke
  3. nyegere86

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi nacheza MLB tu hizo nyingine sportybet wamebana options
  4. nyegere86

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nipo nimehamia kwenye baseball. Mchezo siujui ila angalau chance ya kushinda ipo juu kidogo na odds ni tamu. Huku utasikia innings karibu sana usiku wa leo kuna mechi kibao
  5. nyegere86

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Poleni na majukumu wakamaria
  6. nyegere86

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hizo odds 7 kama nimezitamani
  7. nyegere86

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama una Roho ngumu twende pamoja.
  8. nyegere86

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Odds za Madrid zinatamanisha sana
  9. nyegere86

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante kwa ushauri mkuu. Hizi odds ngumu uzuri wake zikikubali unafuta machungu yote
  10. nyegere86

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mchawi sijui atakuwa ni nani
Back
Top Bottom