Recent content by nyatago1

  1. N

    Slaa, Lissu, List of shame na stori ya Albert Eistein kuhusu physics (tofauti ya physics na siasa)

    angekuwa anaaminika angekwamisha lowasa asipokelewe, sio muda wa kuwajadili ni muda kuweka mikakati ya utekelezaji ya kilichoko ktk ilani za vyama vyenu ili sisi wananchi tuchague na sio kukalia agenda moja ya ufisadi iliyowashinda kuiondoa toka enzi za mwl hadi leo...Watanzania tunaviona vyama...
  2. N

    Kingunge kakurupuka, Polisi nao wamekurupuka kifo cha Mtikila

    hivi mtu unatoa uzi mrefu alafu umeujaza pumba kiasi hk, kifo cha mtikila ulikuwa unataka polisi waende kwa waganga ndo watoe taarifa? hizi ni imani za watu wasio na uelewa ht kidogo na elimu izidi kutolewa maana maneno yetu yako kishaabiki sio ukweli tena, ebu kama jamiiforum inavojitanabaisha...
  3. N

    CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Ht kama mmewapiga ndumba watanzania ya mwaka huu itadunda... mabadiliko ni lazima
  4. N

    CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Hawawezi, lowasa akiwa jasiri wa kwenda watanyamaza wenyewe.
  5. N

    Lowassa aingiza Waisrael kutoa mafunzo ya Kijeshi, Apson Mwang'onda ndiye anadaiwa kuratibu

    uhuru Kenyata hadi alimuita Mungiki sembuse hii, siasa sio tuhuma ni hoja na sera na namna utakavotekeleza hofu ya nn kwa CCM kama wanajua walifanya kazi kwa ajili ya wananchi? nilitegemea hizo nguvu za propaganda wangekuwa nazo wapinzani lakini ni kinyume.... huhtaji degree kujua ombwe la...
  6. N

    CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Hivi ni mara ya kwanza kuwepo na utamaduni wa midahalo mbona wanasiasa wanakuwa wasahaurifu? mh aliyemaliza muda wake aliukataa ht hvo mgombea wenu hatoweza kumtoa jasho ENL
  7. N

    Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

    Hivi wasanii wasiojua masuala muhimu ya kitaifa wanaweza kubadilisha fikra za watu eti wameondoka kwa mtaji gani wa ushawishi walionao? mtu wa kuhamishwa na wasanii wa hulka ya uliowataja hawapo ktk jamii ya leo.
  8. N

    Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

    Kumtaja ktk list of shame sio kwamba ndo mmiliki wa richmond, alitajwa kama part of government, kwa nn tung'ang"anie siasa za kuchafuana kana kwamba ilani za vyama hakuna? siasa za namna hii hazijengi bali zinalipasua taifa kwani nani asiyejua kuhusu ufiadi ktk nchi hii au tunang'ang'ania...
  9. N

    Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

    sheria ipi ina ruhusu kumuacha mtu amalize pesa ndo umpeleke mahakamani?, nashindwa kuelewa uhalali wa vyombo vya kisheria kuhusu ufisadi tz au ndo maana wanataka walete chombo kipya vilivyopo havitoshi?
  10. N

    Rais Kikwete na Tundu Lissu wakutanishwe

    lazima tujiulize why huyo mmiliki hakutajwa miaka 8 imepita au sasa hv ndo muda mwafaka wa kumtaja na zaidi ufisadi wa aina moja unabebwa tunasahau hata wa juzi serikali kukataa pesa??? inashangaza sana.
  11. N

    GE2015 Hongereni tena Segerea: Nina furaha tele na sijatetereka

    wanasiasa wenye hulka kama ww ni hazina kwa taifa, hongera sana na mwenyezi Mungu akutangulie
  12. N

    Ni upi uwezo wa kutoa speech Kingereza kwa watia nia urais 2015

    ni wapi tunalipeleka taifa letu??? hcho nacho kimekuwa kigezo???? kwan speech ni lazima atoe kwa kiingereza??? binafsi nahtaji kumwona rais atakae utangaza utamaduni wetu ambao ni pamoja na kukitangaza kiswahili
  13. N

    Mwakyembe amehamishwa yeye na Treni yake

    sielewi utaratibu unaotumika wanapokuwa wanateuliwa mawaziri wetu
Back
Top Bottom