Hii kitu huwa mbaya sana sijui kwanini viongozi hawajifunzi na kibaya wanadhani watadumu maisha yao yote kwenye hizo nyazifa. Wengi sana saizi wanaishi kwa majuto mazito, stress na wasiwasi wa visasi.
Huyo kilaza wenu hana anachokijua zaidi ya wizi na kuumiza raia, siku yaja atatamani mbingu ishuke...... Kaharibu sana hii nchi ndio maana majority wamemkataa kabaki na nyie machawa tu.
Kipande cha Tabora-Kigoma
kipo financed na AfDB na wana mwakilishi wao so pesa ya mkandarasi inalipwa kwa progress hata huyu Muuaji anenda kuzindua kwa ajili ya kisiasa tu maana mradi mpaka sasa progress yake ni more than 12%
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.