Tangu lini biharamulo ikawa ya wasukuma ? Huko wanakaa wasubi ambao ni jamii ya wahaya na lugha zinaingiliana kama mnyamwezi na msukuma. Kawadanganye wasiojua makabila haya. Wasukuma walioko biharamulo ni wahamiaji tu.
Wasubi wanakula sana ndizi na senene. Usjitoe ufahamu mkuu. Ukweli unabaki palepale kwamba msubi ni jamii ya mhaya. Ila kwa sababu kubaguana katika mkoa wa kagera ni jadi yenu ndio maana unaukana Ukweli. hapo miaka ya nyuma kidogo waziba walikuwa wanakataa kuoana na wanyaihangilo kwa madai...
Wewe usidanganye wasioijua kagera. Wahaya wa kiziba na bugabo wamehamia karagwe toka miaka ya sitini baada ya ardhi ya maeneo yao kuchoka. Na kwa sasa maeneo hayo yana wahaya wengi mno kuliko hata wenyeji wa asili wa karagwe, leo unadanganya kwamba karagwe hakuna wahaya ? Inavyoelekea Wewe...
Unachokisema ni sawa kabisa bila kuwasahau wanyakyusa wa Rungwe. Ila Kwa sasa lazima ujue kwamba kasi ya wahaya kujenga kijijini kwao ni ndogo sana. Haya yalifanywa na kizazi kilichopita. Kwa wachaga sawa wanaendelea kujenga vijijini kwao lakini kuna maeneo kule milimani machame nyumba zao...
Wasubi ni mojawapo ya jamii za wahaya. Ni kama ilivyo tu kwa wanyaihangiro na waziba kuna tofauti kidogo ya lahaja zao. Hivyo Wasubi ni jamii ya wahaya. Anayebisha hajui historia. Walio tofauti na wahaya ni wahangaza wa Ngara wao wako jamii moja na waha na warudi. Msubi ni mhaya...
Usitudanganye wasubi ni jamii ya wahaya na lugha wanasilizana sasa hivi wasukuma hawako biharamulo tu ball wilaya ya Muleba wamejaa tele kuanzia kyamuyolwa hadi Buligi kwa sababu ya hali ngumu wahaya wanawauzia wasukuma maeneo na wao wanakimbilia rocky city kuwa wamachinga.
Huwezi kupata dagaa wabichi pale mbeya hata hao samaki wa kyela kuwapata ni shida. Kawadangaye wasiofika mbeya. kama unazungumzia viazi mviringo na unga wa mahindi hapo sawa. Na mwanadamu haishi kwa kula wanga tu bali hata kwa kila kitoweo kitokacho majini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.