Recent content by nyanzaki

  1. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli 'anajihujumu' mwenyewe...

    Sasa kama atachukiwa nyie mnaohitaji kupendwa na mafisadi na wazembe si muendelee. Mheshiwa magufuli endelea kujenga inchi hii hawa sasa hivi watabadili gear na kusema wewe ni dhaifu. Hapa kazi tu.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Mpaka sasa CHADEMA wameshashinda hata wasipoandamana

    Ukiona mtu anarudiarudia kusema naenda kujinyonga, naenda kujinyonga huyo sio mtu wakujinyonga.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuyumba kwa CRDB kwaweza kutokana na Serikali kuziba mianya ya UFISADI?

    Kwanza niipongeze serikali kwa kupunguza vipato vya dilidili zisizofuata taratibu kwani zilikuwa ni chachu ya haramu. Tatizo ninaloliona mimi mabenki mengi ikiwemo crdb walishindwa kufanya majukumu yake ipasavyo. Ukiuliza chimbuko la crdb lilikuwa nini na walichokuwa wakifanya ni nini. Hapo...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Wakuu Wa Shule za Sekondari Walioshushwa Vyeo- Arusha

    Kiongozi kwani monitoring and evaluation hufanyika lini. Hilo ni jambo ndogo tu la tathmini na ufuatiliaji hasa kupata taarifa na takwimu sahihi. Hakuna msingi wa kusema taarifa huwakilishwa muda fulani basi ufuatiliaji wa taarifa hizo usifanywe. Jamani tuondokane na mazoea, tutimize wajibu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ntibenda: Kama kuondolewa kwangu kama RC Arusha kuna mkono wa mtu; Mungu atalipa

    Hakuna mtu aliyepangiwa kuwa mkuu wa mkoa ama wilaya ni mpango wa Mungu tu. Biblia inasema mlango mmoja ukifungwa mngine hufunguka. Mi naona mnaendeleza majungu tu. Ni vyema mkamuombea kiongozi aongoze kwa hekima na busara kuliko kuponda kila jambo. Usimuwazie mwenzio mabaya ila muwazie mema...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Siasa za kihuni hazitajenga Tanzania

    Unajua kipindi cha uchaguzi vyama vyote vinaandaa sera zinatoa twasira kuwa kama chama hicho kikipata ridhaa kitatekeleza. Baada ya uchaguzi inabidi chama kilichopata ridhaa serikali inayoundwa inafanya chini juu kuandaa mipango ya muda mrefu na mfupi kuteleza ilani ya chama kilichoshika dola...
Back
Top Bottom