Sikujua kama ukabila ni immune syndrome isiyofutika. Pascal nilikuwa namuamini sana lakini amelalia usukumani mpaka nimemshangaa. Nakumbuka wakati tuko Ilboru sec alikuwa ni kijana anajua kujenga hoja kwenye mijadala. Sasa amekuwa mpiga zumari wa hamelin. Shame on you !!!
We mbona unahangaika sana kila topic upo kibaya zaidi huna hoja ni kama wale wamama wa mkoleni!! Hali ya nchi ni tete we unapigia zumari wanaoiharibu. Kama nyie ndio vijana wa kutetea nchi basi we are in a deep shit!
Mleta mada usidhani wote humu ni watoto wa sekondari. Hio picha ni ya Deira Medical Diagnostic Centre. Ume edit ukatoa maandishi DMDC yaliyokuwa kwenye ukurasa wao wa facebook. mmezidi kusifu mpaka aibu yaani;
Nimefuatilia uzi unaozungumzia inayosemekana ajali aliyopata Mkuu fulani wa wasiojulikana nilichojifunza ni kuwa imekuwa nderemo na vifijo. Ni sawa na baba anayechapa watoto sana siku akiteleza akaanguka watoto wanacheka wakifunga midomo wanaenda kuchekea vyumbani mwao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.