Ebo!! Hii ni nini tena? ama umeshaanza kukata viuno kwa kucheza Sebene. Unajiandika na kujicuote mwenyewe, ipo kazi, au ndio msisitizo katika Viroja. Naona kule katika thread yetu na Fredrick Mwakalebela kupata kazi Makumbusho, umetuhama taratiibu!!, wamekufanyia kitu mbaya nini?Napita tu.