Jif
Unze kufuatilia kitu tangu mwanzo wake. Ni ndege oekee iliyokuwa imebaki wakati Magufuli anaingia madarakani. Ndege mpya ni q400 hiyo ni q300
Jifunze kufuatilia mambo. Hiyo ni Q300 na mpya ni Q400. Hiyo ni ndege pekee iliyokuwa imebaki kabla JPM hajaamua kufufua shirika kwa kumwaga ndege...
Mbowe ni Gaidi na hajawahi kukana mahakamani na akashinda kesi. Alitolewa kwa msamaha wa Rais. Mbona hamumuongelei yeye na kakutana hadi na RAIS? Lissu pia alikuwa na kesi kibao kafutiwa kimya kimya na kakutana hadi na Rais. Why not them? Sabaya kaachiwa na Mahakama yenyewe kwa kuprove hana...
Kongole JPM kwa kuanzisha hii miradi yote na kuitengea pesa zote. JPM hakuwa mtu wa kawaida kwenye hii Nchi. Mungu amuweke pahali pema peponi kwa kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.