Recent content by Nyanduz

  1. N

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Mwanza city,ni mji mzuri Tanzania nzima kuanzia madhari,na pia ni jiji lenye Magorofa mengi zaidi ktk ya CBD ukitoa Dsm,,lakini jiji hili linarudishwa nyuma na serikali yetu kwa kukosa miundo mbinu bora ya barabara nzuri, ,hasa za kuingia na kutoka. ndani ya jiji, yaani ni zero kbsaa,,siku...
  2. N

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Hayo mabati yaliyochakaa yanatakiwa yabomolewee zijengwe scraper,kuna vijumba vingi Sanaa ndani ya CBD vimejichokeaaa vnaharbu jiji
  3. N

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Kuna jengo refu flow Kama Saba lilishajengwa kwa tofari za choma mitaa ya rufiji limeshakua Kama gofuu tu toka miaka ya 2009 mpaka leo lipo hvyo hvyo tu ,hv mmiliki yupo au ? ,Linaharibu madhari ya jiji
  4. N

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Leo nimeona pale mswahili wamezungushia mabati marefu upande wa kulia Kama unaenda town ,kuna jengwa nn?
  5. N

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Duuuuh Sawa ngoja tusubiree
  6. N

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Hivi project ya ujenzi wa Mega mall complex pale Nyakato ipo active au ilishajifiaa kitambo wenye kujua atujuzee
  7. N

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Hyo Tampere ni lini itaanza kujengwa. Maana kla sku stori
  8. N

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Hata To Udom itakua kwa msimu maana Kwa population ya Dodoma Bado Sanaa ,
  9. N

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Lipo maeneo gani hili jengo?
  10. N

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Ni Kwelii aise
  11. N

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Kwelii inatia hasira sana yaan Dodoma inakua na barabara nyingi kali kulko mwanza inauma sana aise
  12. N

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Lile jengo la pale Ghana limefikia floor ya ngapi tujuzane
  13. N

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Kmy sana mlioko Mwanza tupeni updates
  14. N

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Walioko mwanza watupe update za construction
  15. N

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Wafia mwanza tujuzane projects znazoendelea kujengwa mwanza
Back
Top Bottom