Asante kwa Ufafanuzi wako nimeelewa vya kutosha, Suala hili tulianza nalo mahakama ya mwanzo mpaka kufikia makubalianzo hayo sasa, ukomo wa muda ulipofika turirudi tena mahaka ya mwanzo kwa hatua inayofuata tukaambiwa tufungue kesi mahaka ya wilaya kutokana na kiwango cha pesa kuzidi kiwango...
Naomba ufafanuzi wa kisheria! Sheria inasemaje iwapo mali imewekewa zuio na mahakama na mmiliki kulipangisha, kuikodisha au kuiuza mali hiyo na hatimaye kutoroka, je, mahakama inaweza kutoa amri ya kunyang'anywa mali hiyo mtu aliyemilikishwa baada ya zuio la mahakama?
Pili; mtu ameingia...
Naomba msaada! Sheria inasemaje iwapo mali imewekewa zuio na mahakama na mmiliki kulipangisha au kuikodisha mali hiyo, je, mahakama inaweza kutoa amri ya kunyang'anywa mali hiyo mtu aliyemilikishwa baada ya amri ya mahakama?
Pili; mtu ameingia makubaliano ya maandishi mbele ya mahakama ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.