Recent content by nyanda ngosha

  1. nyanda ngosha

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa asaidia kuokoa wahanga wa mafuriko

    Tatizo muda wote munawaza mambo yq vyama kwenye vitu vya msingi.Nchi yetu ina jeshi la zima moto na ukoaji ambalo linafanya kazi kizamani na halina vifaa vya kutosha.Jeshi hilo ndiyo hasa linahusika na majanga ya aina hii.Leo liko wapi hadi mkuu wa wilaya naye anakuwa mkoaji?! Nakumbuka ajari ya...
  2. nyanda ngosha

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa asaidia kuokoa wahanga wa mafuriko

    Kumbe hata haujui nan muhusika wa uokoaji kwenye majanga,haujui hata vifaa vya uokoaji,kwa mawazo yako mkuu huyo wa wilaya ataokoa watu wangapi kwa style hiyo??
  3. nyanda ngosha

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa asaidia kuokoa wahanga wa mafuriko

    Jibu kwanza swali langu kabla haujauliza la kwako.Huo ndiyo utaratibu?!
  4. nyanda ngosha

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa asaidia kuokoa wahanga wa mafuriko

    Kwahiyo hiyo ndiyo njia sahihi ya kushughurika na majanga?!
  5. nyanda ngosha

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa asaidia kuokoa wahanga wa mafuriko

    "Wahanga "ni watu wanaojitolea kufa ili kuokoa watu wengine,hao wa Iringa ni Waathirika wa mafuriko siyo wahanga.
  6. nyanda ngosha

    Zitto aanza vita ya wazi dhidi ya Rais Magufuli

    Badala ya kuangalia akichokipost ukijadiri,unaangalia aliyepost ili umjadiri!!
  7. nyanda ngosha

    Abdul Kambaya, ni mtangazaji au mtetezi wa Serikali-Malumbano ya hoja?

    Tupunguze lawama jamani,vitu vingine mtu anaweza kukosea hata bila kuwa na masilahi upande wowote
  8. nyanda ngosha

    Kulikoni Dkt. Magufuli kutohudhuria karamu ya Mabalozi Ikulu?

    Labda mkuu wetu wa nchi alikuwa na dharura
  9. nyanda ngosha

    Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki

    Kazi ya mbunge siyo kujenga barabara, ukianza kumlaumu kwa hilo itaonekana haujui uendeshwaji wa serikali ulivyo.Kwa vile Chadema na Ukawa yote ndiyo wanaongoza Manispaa ya Kinondoni,wape muda kwa vile hizo ni barabara za halmashauri,wabajeti vizuri ili barabara zijengwe
  10. nyanda ngosha

    Azam Tv wazima matangazo ya bunge live kwa sababu za kiuchwara

    Dah!! hv Kweli Nape Nauye unaweza kusimama mbele ya bunge kuwaambia watanzania hawawezi kuangali bunge kwa vile ni gharama kubwa kurusha live?! Hv kweli sisi tunaendelea au tunarudi nyuma?!
  11. nyanda ngosha

    Viongozi wa CHADEMA Rukwa Wajiuzulu kwa Kutoridhishwa na Mchakato wa Viti Maalum

    Huyu hata haelewi kinachoongelewa!!! Umeamhiwa aliyechaguliwa anatoka mkoa gani?!
  12. nyanda ngosha

    Viongozi wa CHADEMA Rukwa Wajiuzulu kwa Kutoridhishwa na Mchakato wa Viti Maalum

    Watu wanaandika haraka haraka sana mkuu,pole kwa kuchanganywa
  13. nyanda ngosha

    Wafuasi wa CHADEMA hasa wabunge, Akili za kuambiwa changanya na zenu

    Mie nilidhani kuna point inaongelewa kumbe majungu tu
Back
Top Bottom