Recent content by Nyanda lunduma

  1. Nyanda lunduma

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kujing'ata ulimi ukiwa usingizini na dawa yake

    Habari ndg zangu. Kama maada ilivyo hapo juu nina tatizo la kujing'ata ulimi usiku nikiwa nimelala je tatizo huwa nini na njia gani nitumie ili niondokane na hili Tatizo. Naombeni msaada wenu
  2. Nyanda lunduma

    JamiiForums Tanzania Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Nakuja boss Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
  3. Nyanda lunduma

    JamiiForums Tanzania Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Sina pori mkuu ila kikwapa kinatema mkuu
  4. Nyanda lunduma

    JamiiForums Tanzania Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Nipo mkoa Manyara
  5. Nyanda lunduma

    JamiiForums Tanzania Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Asante sana mkuu
  6. Nyanda lunduma

    JamiiForums Tanzania Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Wakuu nisaidieni dawa, ziwe za mitishamba au za kitaalamu kundoa hili tatizo la kunuka kwapa mpaka naona aibu kuwa na wezangu karibu , nimejaribu kutumia tangawizi, limao na asali kwa kusaga na kuweka kwenye kwapa lakini tatizo bado.Msaada ndugu zangu
  7. Nyanda lunduma

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la macho kuwasha

    Asante sana nimeona unafuu kabsa
  8. Nyanda lunduma

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la macho kuwasha

    Asante mkuu
  9. Nyanda lunduma

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la macho kuwasha

    Asante sana
  10. Nyanda lunduma

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la macho kuwasha

    Wakuu mimi nina tatizo la macho kuwasha kila ifikapo jioni macho yangu huwa yanawasha sana hadi kupelekea kuyakuna mpaka yanakuwa mekundu. Naombeni msaada.
  11. Nyanda lunduma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amemkuta mke wake ana ujauzito wa wiki tatu wakati hakuwepo miezi miwili

    Asante mkuu
  12. Nyanda lunduma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amemkuta mke wake ana ujauzito wa wiki tatu wakati hakuwepo miezi miwili

    Ziwa lipo mbali na makazi yao
  13. Nyanda lunduma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amemkuta mke wake ana ujauzito wa wiki tatu wakati hakuwepo miezi miwili

    Nimekuelewa mkuu
Back
Top Bottom