Recent content by NYAMUNGA ONE

  1. N

    CHADEMA lini M4C itatua Rorya?

    Viongozi wa chadema ni lini operation M4C itatua RORYA? maana ni jimbo linalohitaji ukombozi wa kifikra na kiuchumi walioko madarakani kwa mtazamo wangu naona kama wameshindwa kuleta mabadiliko.
  2. N

    CHADEMA lini M4C itatua Rorya?

    Viongozi wa CHADEMA ( kamanda Mbowe, Lema, Slaa, Heche, Mnyika na wengineo ni lini operation M4C itatua Rorya? maana ni jimbo linalohitaji ukombozi wa kifikra na kiuchumi.
  3. N

    Naibu katibu mkuu CCM Mwigulu adoda MWANZA

    Mwigulu nchemba hawezi kupambana na chadema hata akinunua kadi milioni moja, ushauri wangu kwa mmiliki wa nyota tv asiwe na upendeleo maana nyota tv siyo ya ccm pekee bali ni ndani na nje ya tz
  4. N

    Kauli ya Lema

    Cashwise nami nimeipenda sana inatia uchungu
  5. N

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Tulijua Lema atashinda rufaa yake, Mungu akubariki sana kamanda endelea kudai haki ya wanaoonewa.
Back
Top Bottom