Recent content by Nyamodha

  1. Nyamodha

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

    TANESCO imekubali kutumika kama njia ya kukusanyia Kodi za Majengo; hili sio jambo baya! Kinachoniumiza mimi: Ni kwa nini TANESCO isitenge kodi hiyo na gharama halisi ya umeme tunayonunua kwa matumizi ya nyumbani? Kwa mfano, inalipa Tshs 15,000/= na tshs 1,500/= inakatwa kama kodi ya nyumba na...
  2. Nyamodha

    JamiiForums Tanzania Kupatikana kwa CCM imara lazima CCM hii ife kabisa

    Chama kinajikosoa chenyewe Na wewe ukiwa mwanachama Mzalendo hivyo ndivyo umewapa wasimamizi wa Chama hiki hoja ya kusimamia kufanya maboresho! 2030 ndo kutakuwa Na CCM imara kuliko ya sasa maana pande zote zinazoonekana kukinzana zitakuwa zimeungana Na kuwa kitu kimoja. Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
  3. Nyamodha

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa CCM

    Hata asiye mtiifu Kwa CCM ni mtiifu Kwa tumbo lake kwani tumbo ndo hukuwezesha kupumua! Dhambi haiko CCM, dhambi ni ya MTU mmoja-mmoja, Na hii ndiyo sababu CCM itaendelea kutawala Kwa vile mnaodhani hamuitii CCM hamuitii hats jamii inayolindwa Na kulelewa na CCM (Watanzania) na hampendi...
  4. Nyamodha

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa CCM

    Maisha bora Ni jitihada za pamoja za wananchi, CCM ikiwa mbele kama Chama kinachotawala. Ndiyo maana kila Mtanzania Kwa nafasi Yake anapambana kupata maisha bora, huku CCM Na serikali Yake ikiwa imeweka Mazingira wezeshi kufanikisha azma hiyo: Maisha bora Kwa kila Mtanzabia.
  5. Nyamodha

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa CCM

    CCM imemaliza Mkutano wake Mkuu wa 10 Kwa uchaguzi wa Viongozi wa Chama hicho ngazi ya Taifa. Naipongeza CCM Kwa kuwa Chama bora Na chenye demokrasia ndani ya Chama sio tu katika Afrika, Bali pia hata ulimwenguni Ni Chama kinachozidi kujijengea uimara, Na Kwa namna kinavyopendeka (sio tu Kwa...
  6. Nyamodha

    JamiiForums Tanzania Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

    Wajibu wa mzazi Ni kumlea, kumuongoza Na kumsimamia Mtoto wake. Wajibu wa Mtoto Ni kumtii mzazi Na kufuata maelekezo ya mzazi ili akabidhiwe kwenye "dunia" iliyo Salama kwake. Kumbuka asiyefunzwa Na mamaye hufunzwa Na ulimwengu, Na kamwe hapaswi kuja kumlalamikia mzazi wake yakimkuta: kumbuka...
Back
Top Bottom