Recent content by nyamero

  1. N

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No reforms no Election.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwijaku: Tutamshitaki Askofu Gwajima kwa kumuingiza mtoto wake UVCCM ilhari umri wake hauruhusu!

    Wa kulaumiwa ni aliyempokea bila kuzingatia vigezo, naamini fooling Tanzanians is now coming to an end.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania kuondoa CV za wabunge kuogopa Gen Z wa Kenya ni utoto

    Hii pia ni ushaidi tosha kwamba ikitokea tukaingia vitani na Kenya tutapoteza vita kwa sbb vita vya sasa hivi vinapiganwa kisayansi si kimaguvu km serikali yetu ya Ccm inavyoamini.
  4. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ndumbaro: Endapo chama hakitaki kushiriki uchaguzi Kuna ulazima gani wa kututangazia? Wamalizane ndani ya chama

    Kama hamna sababu ya kuwatangazia wewe una sababu gani ya kujibu? Mnawashwawashwa sn kipindi hiki
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wahariri wa magazeti wapigwa na kitu kizito vichwani kuhusu DP World

    Radio ya taifa ndio inayowatangazia hao wa vijijini kwamba Nyerere bado ni rais? Hakuna kijiji chochote Tz hii ambacho utandawazi haujafika jambo kwa kiwango cha chini, ila bahati mbaya yenu matokeo ya vitu vyenu vyote huwa mnayo mfukoni bt mnatafuta visababu tu vya kuyahalalisha hata km ukweli...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kuupinga Mkataba wa Bandari inaitwa "udini" lakini kuunga mkono sio udini?

    Siasa gani wamefanya hapo ndugu yng? kutoa maoni yao na kusema wanachosimamia khs uwekezaji wa bandari ni siasa? Au wangesimamia kuunga mkono uwekezaji ndio ingekuwa sio siasa?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kuupinga Mkataba wa Bandari inaitwa "udini" lakini kuunga mkono sio udini?

    Sasa km hadhira yao ni waumini ulitaka waseme kwa niaba ya kina nani? Sisi huku tunasema mmoja mmoja lkn ingetakiwa kuwa na sauti moja yenye nguvu ya kuwasilisha mawazo yetu ambayo ni bunge, bunge limeshindwa kufanya kazi yake Tec wameamua kuwasilisha Sauti ya pamoja kuhusu msimamo wao na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kuupinga Mkataba wa Bandari inaitwa "udini" lakini kuunga mkono sio udini?

    Wametoa msimamo wao kuhusu uwekezaji wa bandari, wameishikia vp remote serikali hapo? Serikali ndio inaogopa kivuli chake ynyw inatafuta wa kufa nae
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kuupinga Mkataba wa Bandari inaitwa "udini" lakini kuunga mkono sio udini?

    Point kubwa sn hii mkuu. Naomba imfikie yeyote anayeweza kuijengea hoja vzr eg Tundu Lissu awaulize kina JK. Wanashindwa kujibu hoja wanajificha nyuma ya udini
  10. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Fredrick Shoo: Tusiwagawe watu kwa misingi ya dini

    Viongozi wa kisiasa wakitumia majukwaa ya makanisa au misikiti kwa manufaa ya kisiasa "Hapa dini haijachanganywa na siasa" ila Viongozi wa kidini wakiongelea siasa tena kwa mambo muhimu kabisa yanayogusa maslahi mapama na mustakabali wa vizazi vijazo ambapo dini lzm iseme ukweli " Hapa sasa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa NHC aiomba Serikali iruhusu wageni kumiliki Ardhi ili kukuza uwekezaji

    Wakati wakipaendeleza na kupapendezesha ww na vizazi vyako mtakuwa wapi?
  12. N

    JamiiForums Tanzania RC Mongella: Bangi ya Arusha ndio kali zaidi kuliko zote Duniani

    Jamaica hamna bangi kali, Jamaica kuna wavuta bangi wakali.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Proffession: Wildlife & Tourism management A driver with class C driving license Experience : 10 years Education level : Degree Age: 35 Location (currently ): Arusha
  14. N

    JamiiForums Tanzania Apandishwa mahakamani kwa madai ya kuitukana Serikali juu ya deni la Taifa

    Magufulification eeh! Mambo ni yale yale tofauti ni ushungi tu..
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rwanda kujengwa bandari kavu kwa ajili ya mzigo wa DP World, Kagame nae anaiuza nchi Rwanda kwa Mwarabu?

    Hakuna mtu yyt mwenye akili timamu anayeweza kupinga uwekezaji wenye tija, tatizo ni pale terms za uwekezaji zinapokuwa hazina tija kwa taifa. Hata mpangaji wa chumba ana clear terms na mwenye nyumba, inakuwaje ishu kubwa km ya bandari isiwe na clear terms?
Back
Top Bottom