Recent content by Nyambala

  1. Nyambala

    Maandamano 2.0 - Yenye ufanisi, nchi nzima na haumizwi mtu

    Vurugu na ukatili wa Vyombo vya Dola ni sehemu muhimu ya Serikali za kidikteta katika kupambana na wapinzani wao kwa kisingizio cha kulinda amani na usalama. Kuna kila dalili maandamano yaliyoandaliwa leo yatajibiwa kwa nguvu kubwa ya dola ili kutisha wananchi, maana yakiruhusiwa yatawapa...
  2. Nyambala

    Zijue aina za nyoka: Wa kawaida, wa kichawi na wa kimizimu

    Tanzania kweli safari ndefu duh!!!!, tumalize majipu, tujenge shule, hospitali, tuelimishane kuhusu imani za kishirikina na madhara yake kwenye maendeleo ya nchi... Kuna wakati huwa najiuliza na kujijibu mwenyewe... Anyways all in all hizi ni discussions ambazo hazinaga facts, ni mwendo wa...
  3. Nyambala

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Kweli tumetoka mbali sana, nakumbuka enzi hizo jokes were just humorous and not "personal". Hoja zilikuwa zinakatwa based on knowledge & experience na si uwezo wa kupayuka. Most discussions were civil and informative. JF iliwapa shida sana watanzania waliokuwa hawaelewi nini maana ya forum...
  4. Nyambala

    Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    Mkuu Mag3, sasa hivi naamini kabisa tatizo kubwa la ccm ni incompetency, these guys can't do anything to near perfection, nothing!!!!
  5. Nyambala

    Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    hahahahahahaha- very true mkuu!!!!!!!!!
  6. Nyambala

    Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    Sasa ndiyo ufahamu mkuu, hiki ni chama cha kilaghai mbele, nyuma....
  7. Nyambala

    Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    CCM Imejidhihirisha tena kuwa ni incompetent organization. Waliahidi mikutano ya kisayansi ambayo haijawahi kutokea katika kufunga kampeni zao. Vipi mmeiona hiyo sayansi?????? Hili lichama kwa jinsi lilivyo incompetent hata kinachodaiwa kuwa wataiba kura hawana competence kufanya hivyo nchi...
  8. Nyambala

    Watanzania wameamua wanamtaka nani awe raisi wao!

    All the best, huo ndiyo utaratibu!!!!!
  9. Nyambala

    Watanzania wameamua wanamtaka nani awe raisi wao!

    Anajiamini vipi wakati kipindi chote cha kampeni hajawahi hata kuhojiwa na waandishi wa habari, hata wale wa TBC au UHURU basi. Anaogopa nini??? Mdahalo alikimbia, INTERVIEW ya BBC kaikimbia, si sifa za mtu anayejiamini hata kidogo!!!! Ni mwoga na aliyezoea "staged" events.
  10. Nyambala

    Watanzania wameamua wanamtaka nani awe raisi wao!

    Kifupi ni kuwa "Lowassa is a Transition not a Destination", ambayo ni lazima tuipitie kuelekea kule tunakokutaka. EL can then decide kama anataka pia kuwa destination ni hiari yake. Lakini kwa sasa ameaminika kupitisha nchi kwenye hii transition.
  11. Nyambala

    Watanzania wameamua wanamtaka nani awe raisi wao!

    Kuna wengi waliinvest heavily kuhakikisha siku hii haifiki kwa namna ilivyofika, lakini mwisho wake iko wazi, Tanzania ni kubwa kuliko majina ya watu, historia zao, na kuungwa mkono kwao. Mabadiliko ni lazima.
  12. Nyambala

    Operesheni Zinduka 16: Tuwe tayari kuheshimu sauti ya Watanzania hata kama hatuipendi

    Kifupi ni kuwa Operation Zinduka is simply a failure!!!!!!!!! Haijazindua, haikuja na mpya yeyote, wala mtikisiko kama ilivyokuwa portrayed kabla. Nice try though!!!!
Back
Top Bottom