Recent content by Nyamalapa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Connection ya kibarua chochote

    Shukrani sana kiongozi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Connection ya kibarua chochote

    Kuwa na amani kiongozi wala hakuna tatizo.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Connection ya kibarua chochote

    Sawa kiongozi ila nitashukuru kama utanipa mawasiliano yako inbox ili hiyo kesho wakati nakuja nijue nafikaje
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Connection ya kibarua chochote

    Kama unaona nimejieleza ili nipate kuhurumiwa hayo mawazo yako na nayaheshimu. Ila unaonekana umeamua tu kunikosoa sababu nimeshasema nipo Dar Es Salaam lakini wewe unasema sijasema nipo mkoa gani sasa huoni huna msaada na mimi ila umeamua tu kukosoa nilichokiandika.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Connection ya kibarua chochote

    Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote ili niweze kuisadia familia yangu nikiwa na maana ya mke na watoto pamoja na mzazi wangu ambae ni mjane. Elimu yangu ni form 6 ila pia najua kutumia computer. Hata kama ni kibarua cha kulipwa kwa siku nipo...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

    Thanks man i appreciate 🙏
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

    Shukrani sana 🙏
  8. N

    JamiiForums Tanzania Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

    Shukrani sana kaka kwa ushauri
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

    Daaah sasa unanishaurije kiongozi 😅😅😅
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

    Bora kuitwa dear x kuliko kuwa kwenye mahusiano mabovu
Back
Top Bottom