Recent content by NYAKISAGANE

  1. N

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    sorry ridhiwani ni kuvau gamba na kuvaa gwandwa.
  2. N

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Ridhi umejibu kwa busara, tumekuelewa tunakutafakari unaonekana kama unajiandaa kuva gwanda. by nyakisagane.
  3. N

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    by nyakisagane, Jenifa bitod jaribu kusoma majibu ya mnyika kwa makini hacha kuuliza maswali ya kukurupuka.
  4. N

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    mnyika unatisha Kupata matokeo ya A katika mitihani 9 hakika wewe ni kipaji tosha tunasubiri nape na ridhi watupe cvs zao.
  5. N

    Gazeti la Tanzania Daima hatarini kufungiwa...!

    umenena kila siku na mimi nawaambia watz wenzangu kufuta ujinga tz ni hatari kwa ccm, wajumbe wa nyumba kumi wengi awajui hata kusoma na kuandika na wana maisha magumu ila kwa kukosa elimu kwao wamebaki na vibendera kwenye nyumba zao. wangine wananipiga mizinga wamechoka nawauliza vipi...
  6. N

    Gazeti la Tanzania Daima hatarini kufungiwa...!

    mahali popote duniani mtu akisahihisha jambo kiuandishi uwa amejiweka katika wakati mzuri maana kumbuka kuna makosa ambayo ni common mistakes. Kama gazeti litafungiwa itakuwa ni mbinu ya wakubwa kuzilka demokrasia ya habari na kuwanyima watanzania haki ya kuelimishwa. Tupinge jambo hilo kwa...
  7. N

    CHADEMA yaibwaga CCM Magu

    hureeeee mwalimu alisema ukiona wanaanza kugawanyika ujue ndiyo mwisho wao, sisiem wamegawanyika sana lazima chadema iwashinde tu, subirini serikali za mitaa. Ahsanten wana sisiem mnaotuunga mkono na mguu tutaendelea kuwatunzia siri. ila itafika siku muwe jasiri mjitoe waziwazi. maana waoga...
Back
Top Bottom