Recent content by Nyakarilo

  1. N

    Dada wa stationery anahitajika-Mawasiliano Sim 2000

    Dada kwaajili ya kufanya kazi stationery anahitajika . Awe amekizi yafuatayo, 1.Awe ameshawahi kufanya kazi ya secretariaa 2.Awe kasi ya kuchapa 3.Awe na uwezo wa kutumia kwa ufasaha photocopy machine, binding na laminating machine sambamba na huduma ya picha. 4. Awe mhaminifu pamoja na mchapa...
  2. N

    Athari za kubadilisha kazi kwenye payroll

    Inawezeka kuacha kazi kwenye utumishi wa umma endapo utaresign na kuondolewa kwenye payroll.Mfano umeacha local government unaenda TANESCO au shirika lolote la umma ambako scale ya mishahara ni tofauti..Lakini ni vigumu kuacha local government alafu ukarudi tena huko..Kwa baadae miundo ya...
  3. N

    INTERVIEW HELP

    Ninaomba msaada wa kiwango wanacholipa (Salary gross) Mwalimu Nyerere Foundation kwa nafasi ya uhasibu iliinisaidie kwenye interview niliyoitwa nakutegemea kufanya siku chache zijazo.Kwa yeyote mwenye ufahamu naomba anisaidie kunipa mwanga..
  4. N

    Tangazo: Nafasi za kazi Wizara ya Afya, Apply sasa

    Mbona tangazo la mwaka 2015 na sio la sasa
  5. N

    Orodha ya makampuni Tanzania inapatikana bure

    Safi sana ila nashauri uyapange kulingana na aina ya kazi au huduma inayotolewa.(Industry)
  6. N

    Business consultation at affordable rate

    GA consulting inawatalamu wenye weredi na waliobobea katika masuala ya biashara na pia wamefanya kazi katika kitengo cha biashara katika Halmashauri na Majiji.Na Certified Public Accountant(CPA-T).Karibu Uhudumiwe.
  7. N

    Business consultation at affordable rate

    GA Consultancy is the leading Business Management Consulting in the region which offers high level advisory to policy makers, investors and organizations. Our Management Consulting services include; Tax Advisory, Financial Advisory, Strategic Advisory, and Strategic Marketing as follows...
  8. N

    Business consultation

    Thanks for your good advise it is noted
  9. N

    Business consultation

    GA Consultancy is the leading Business Management Consulting in the region which offers high level advisory to policy makers, investors and organizations. Our Management Consulting services include; Tax Advisory, Financial Advisory, Strategic Advisory, and Strategic Marketing as follows...
  10. N

    Naomba kujuzwa sifa za kufungua tax consultancy(professional&practical)

    Nashukuru kwa mawazo,usajiri wa accounting au auditing firm inahitaji uwe Associate CPA-PP(In public practice) inachukua miaka 3 na kuendelea kama utakizi vigezo. Ndio maana naomba ushauri ili niweze kufungua tax consultant ambayo haina masharti ya miaka 3 baada ya kupata CPA.Lengo ni kujenga...
  11. N

    Naomba kujuzwa sifa za kufungua tax consultancy(professional&practical)

    Nashukuru sana kwa ushauri mzuri nami nimeufanyia kazi na tayari nimeshajaza fomu na kuiwakilisha TRA.Nasubiria mrejesho
  12. N

    Naomba kujuzwa sifa za kufungua tax consultancy(professional&practical)

    Namanisha ushauri wa kodi pia inawezekana kufanya revenue focast ili kuongeza mapato halmashauri,majiji na manispaa hususani kwenye vyanzo vya mapato kama mabango(billboard),
Back
Top Bottom