jamani wizara imeshindwa kuweka majina hadharani kwa sababu kuna halmashari chache bado pesa za kujikimu kwa walimu wapya bado hazina hawajatuna kwa hiyo majina kutangaza hadi Mh MAJARIWA atawatangazia siku zijazo walimu muwe waelewa
kama mtu huna hoja kuleta kwa jamii kaa tu,siyo kuleta ujinga wako wa kuwapa presha watu, ajira ziko wapi na leo tar 26 feb ,wewe ni mp..mbaf.. Tu,jinga sana
wewe mbulura ajira ziko wapi na leo ni tar 26 mpaka saa hizi hakuna cha ajira wala mtoto wa ajira achaga ujinga kupost vitu usivyo kuwa na uhakika unaye post kwa akili za viroba wewe, weka post za kisomi siyo kuleta ujinga
unakera sana kwa kuandika kitu usicho kijua hata wewe mwenye baada ya kuwashauli walimu watafute miradi mingine kutokana na ajira hazionekani, unakaa na kuposti vitu usivyokuwa na uhakika navyo
acheni kuleta uhuni humu wa kusema kwamba ajira wanatangaza eti kesho je wewe ni nani katika serikali ya waongo, andikeni vitu logic, siyokuleta umbea usio na ukweli ndani yake mafixadi bado wanalilia kuongezewa posho za bunge la katiba nanyi mnaleta umbea humu,leteni mada zinazo kuwa na chanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.