Kila MTU apambane na hali ..wakujibu ajibu au kwa upande wetu sheria ituhurumie chadema?au tunataka sheria hiyo ikam bane kwenye angle X magu na wengine?
Kwa kumalizia tu kwa kweli nchi ili iweze kufika mbali inahitaji kama mmepata
Kiongozi mzalendo na mleta maendeleo akae angalau miaka 20 asimamie na kukijenga hicho anachokifanya maana mfano jpm akiondoka 2025 atakuja mwingine na yake haya 2030 atakuja mwingine na yake yaani jenga bomoa jenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.