Recent content by NYAHENDE

  1. N

    JamiiForums SYRIA: Ruksa watu kula Paka, Mbwa na Punda na ikibidi Maiti.

    Kila ambacho dini ya kislamu imezuia imetoa sababu na alrtenative pale pasipo kua na jinsi ya kuepuka jambo ilo,kwa iyo kitendo cha FATWAA sio kutengua sheria za dini bali ni kutimiza upande wa pili wa sheria ya dini kulingana na maandiko ya kitabu kitukufu cha Quraan.
  2. N

    JamiiForums Pembe za ndovu

    Jana wana harakati walifika Dar kutoka Arusha wakipinga mauaji ya tembo wakati inaonekana 75% ya pembe za ndovu haramu duniani zinatoka Africa wakati TZ inatoa zaidi ya 41% peke yake.mi ndhani serikali inawajua hawa wahusika na kuto wakamata ni kukiri kwamba nao ni wahusika no1,serikali iungane...
Back
Top Bottom