Recent content by Nyachiriga1961

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga (vyumba vinne self contained) inahitajika jijini Mwanza

    Nyumba ya vyumba vinne (self contained) inahitajika haraka. Sifa: 1. Iwe jiji Mwanza (Ilemela na Nyamagana) 2. Hali nzuri 3. Usalama/fence 4. Inafikika bila changamoto 5. Parking ya gari 2 na kuendelea Mawasiliano piga 0769746211 Isiwe na dalali
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tunauza Kuku aina ya Kuroiler tupo Bunju "A" Kituo kwa Baharia

    Habari! Tunauza kuku aina ya Kuroiler F1(Ni chotara, wazito na wamejaza minofu), tunapatikana Bunju A, kituo "kwa Baharia", jirani na Kituo cha Mafuta cha GUDAL. Bei ni kuanzia 14,500-18,000..kutokana na uzito wa kuku. Bei ya jumla kuanzia kuku 10 tunafanya 15,000. Weka oda yako mapema na...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tunauza Kuku aina ya Kuroiler tupo Bunju "A" Kituo kwa Baharia

    Ni kuku bora, wenye nyama nyingi, watamu, wenye kuhimili magonjwa na watagaji wazuri. Kuhusu risk kwenye biashara hata kwa kinyozi ipo, usiwatishe watu katika kutafuta maisha. Njoo tukuhudumie ndugu, usijiwekee vigingi kwa habari za kusikia, mbona sisi tumefuga na sasa tunakuuzia?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tunauza Kuku aina ya Kuroiler tupo Bunju "A" Kituo kwa Baharia

    Tunauza kuku aina ya Kuroiler F1, tunapatikana Bunju A, kituo "kwa Baharia", jirani na Kituo cha Mafuta cha GUDAL. Bei ni kuanzia 14,500-18,000..kutokana na uzito wa kuku. Bei ya jumla kuanzia kuku 10 tunafanya 15,000. Weka oda yako mapema na karibu tukuhudumie kwa uaminifu kabisa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Chongolo hukijengi chama bali unakibomoa kwa kurudisha makundi ndani ya CCM. Hisia zangu chama kineanda kukatika vipande viwili

    Mengi umejitahidi kuelezea kwa ufasaha lakini utambue mabadiliko katika suala la uongozi ni jambo la kawaida. Pia naomba kutofautiana na wewe katika hoja ya kudai kuwa fedha haikuwa kitu katika uchaguzi wa 2020. Ukweli ni kuwa rushwa ya uchaguzi hasa katika kura za maoni ilikuwa kubwa kuliko...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Gari Inauzwa Toyota Mark II Gx 100 Tzs. 2.5m

    Assalaam Wanabodi, gari hii imeishauzwa. Natanguliza shukrani kwenu nyote.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Gari Inauzwa Toyota Mark II Gx 100 Tzs. 2.5m

    Sawa Mkuu!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Gari Inauzwa Toyota Mark II Gx 100 Tzs. 2.5m

    Mkuu, 1.8 ni kiasi kikubwa, ila nakushawishi kuwa gari hii bado ni nzima sana na kwa gharama niliyokupa kamwe huwezi jutia.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Gari Inauzwa Toyota Mark II Gx 100 Tzs. 2.5m

    Assalaam Wanabodi, Nauza gari yangu aina ya Toyota Mark II Gx 100. Gari hii iko katika hali nzuri. Haijaguswa Engine wala Gearbox kwa matengenezo yoyote. Changamoto kidogo iko kwenye bodi, sehemu ndogo sana ya juu imelika kutokana na chumvi ya bahari hapa Dar es Salaam. Na hii ni kutokana na...
  10. N

  11. N

Back
Top Bottom