Recent content by Nyabukika

  1. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia achangia Milioni 150 na wafanyakazi ofisi yake wachangia milioni 100 Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maalum Kanisa la KKKT

    Rais Samia Suluhu Hassan, alishiriki katika harambee ya ujenzi wa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre, kinachojengwa na Kanisa la KKKT. Akizungumza katika harambee hiyo, Rais Samia pamoja na ofisi yake wamechangia shilingi milioni 250 kwa ajili ya ujenzi...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Bilioni 240+ Zatolewa kwa Wananchi Kupitia Mikopo ya asilimia 10– Je, Wewe Umewahi Kunufaika?

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kutoa kipaumbele kwa maendeleo ya wananchi kwa vitendo, hususan kwa kuwainua kiuchumi kupitia mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri isiyo na riba. Mikopo hii imetolewa kwa makundi maalumu ya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Yule mama amerejeshewa hati yake iliyokaa bank ya NMB kwa miaka 5

    Hapana hakutaka mambo mengi
  4. N

    JamiiForums Tanzania Yule mama amerejeshewa hati yake iliyokaa bank ya NMB kwa miaka 5

    hakutaka mambo mengi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Yule mama amerejeshewa hati yake iliyokaa bank ya NMB kwa miaka 5

    Nguvu ya mtandao ni kubwa kuliko ya polisi
  6. N

    JamiiForums Tanzania Yule mama amerejeshewa hati yake iliyokaa bank ya NMB kwa miaka 5

    Isuue imeenda fasta sana aisee
  7. N

    JamiiForums Tanzania Yule mama amerejeshewa hati yake iliyokaa bank ya NMB kwa miaka 5

    Hahaahhaa sawa sawa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Yule mama amerejeshewa hati yake iliyokaa bank ya NMB kwa miaka 5

    Nimeiweka hapo chini ya uzi
  9. N

    JamiiForums Tanzania Yule mama amerejeshewa hati yake iliyokaa bank ya NMB kwa miaka 5

    Jamani Asanteni, Ila nilichojifunza ni kwamba tukipewa ofisi, tufanye kazi na kuwajibika. Yani mtu unaweza kuharibu sifa ya ofisi yako sababu ya kuchukulia vitu poa. Yule Mama anasema Maboss wa NMB walikuwa hawana taarifa , jambo limefika kwao limeisha fasta na amepewa hati yake kirahisi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Responded NMB wagoma kurudisha hati ya nyumba, japo deni lao limeshalipwa lote

    Mambo hawajaweka sawa for 5 years
  11. N

    JamiiForums Tanzania Responded NMB wagoma kurudisha hati ya nyumba, japo deni lao limeshalipwa lote

    Yeye sasa bado hajapewa bado iko bank
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa wakili mzuri aliyepo Sengerema, Mwanza atakayeweza kusaidia hili suala la NMB kugoma kutoa hati ya mteja wao kwa miaka mitano

    Wanamwambia "nenda nyumbani tutakupigia simu" na taratibu zote za kuandika barua kwa ajili ya kuomba hati ameandika
Back
Top Bottom