Recent content by Nyabhuruma

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kucheza kwa mtoto tumboni....

    Dooh kumbe ubavu wa Julia nao ni hatari?vipi kwa yule anayeumwa na nyonga akilalia ubavu mmoja tu sasa uyo atatumia njia gani maana walau awe anabadili muelekeo wa ulalo..nisaidie apo plz
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mimba zenye mapacha, dalili zake ni zipi?

    Samahani,linajigawaje?yani linajikata kuanzia chini ya kitovu mpka juu au linajikata kimapana?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mimba zenye mapacha, dalili zake ni zipi?

    Samahani, linajigawaje? Yani linajikata kuanzia chini ya kitovu mpka juu au linajikata kimapana?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Dawa ya malaria kwa mama mjamzito

    Habari zenu wapendwa...Mimi ni mjamzito wa miezi minne kasoro kwa bahati mbaya nimeugua malaria na ilionekana ninawadudu saba kwa kipimo cha BS,ila nimekwenda Hosp wakanipima kwa kutumia MRTD malaria haikuonekana,Nurse akanambia kwa vile haijaonekana katumie CT sasa wataalam wa dawa sijui ndo...
Back
Top Bottom