Recent content by nyabhumbasi

  1. N

    Msaada kwa wote wenye mapenzi mema

    naombeni msaada kwa yeyote mwenye mapenzi mema, mimi ni kijana mtanzania nimemaliza ngazi ya stashahada katika fani ya UHANDISI NA USIMAMIZI WA MAZINGIRA MIGODINI mwaka 2016 mara baada ya kuhitimu niliona ni vyema niombe kuendelea na n masomo ya elimu ya juu na nikachaguliwa katika chuo kikuu...
  2. N

    Hebu tuujadili huu wizi ambao HESLB wanataka kutufanyia

    hivi nashindwa kuielewa bodi ya mikopo hivi watu diploma sio watanzania mbona tunabaguana jamani? mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
  3. N

    Kuhusu second batch ya HELSB

    jamani serikali yetu tukufu mnatunyanyasa watanzania hasa watoto wa masikini ambao tuna diploma holder,(equivalent qualification) ni heri mngelitwambia mapema kabla hatujaomba mkopo kuwa equivalent qualification hawatopatiwa mkopo ile elfu 80 nilotumia katka zoezi zima la kuomba mkopo...
Back
Top Bottom