Recent content by NUUMA BAKUNYA

  1. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mi mwl idara ya sekondari njoo ushetu kahama nije karagwe,mureba,misenyi bukoba 0769039125
  2. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mi ni mwalimu (sekondari) njoo ushet- kahama nine karagwe 0769039125
  3. N

    Msaada kwa anaejua wilaya ya Ushetu Shinyanga

    Ok mkuu asante sana kwa kunipa hali halisi ya wilaya ya ushetu mi nimepangiwa kam mwl wa sekondari
  4. N

    msaada jamani mi ni mwl ajira mpya nimepangiwa wilaya ya ushetu shinyanga

    mwenye kujua mazingira vizuri anijuze ili nipate uwelewa
  5. N

    mi ni mwalimu ajira mpya nimepangiwa wilaya ya ushetu

    mwenye kujua mazingira na maeneo mazuri ya wilaya hiyo anijuze
  6. N

    Msaada kwa anaejua wilaya ya Ushetu Shinyanga

    nimepangiwa wilaya ya ushetu kwa anaejua mazingira anijuze
  7. N

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    nimepangiwa ushetu mwenye kujua mazingira anijuze
  8. N

    Ajira mpya za walimu awamu ya pili hizi hapa

    kwa wale walio subilia ajira awamu ya pili yametoka
  9. N

    Ajira za walimu, awamu ya pili

    ajira subili si wanasubilia budget ikamilike ndo watowe majina mi mwnyewe ni mwanga wa janga hili ila imenirazimu ni coool mpaka hapo tamisemi ikitoa tamko
  10. N

    Mbona tamisemi hawatowi majina ya walimu awamu ya pili kwa walio kosa na wanavigezo

    jamani kama Kuna mtu Ana any news anijuze make mi nipo kijijini
  11. N

    Kwa wale tunaosubiri ajira awamu ya pili

    nikweri gazeti la habari Leo la tarehe 4/6/2014 limezungumzia swara hill kuwa watahajiri walimu zaid ya elfu mbili kwaiyo siku yoyote yatatolewa hayo majina
  12. N

    Jamani mwenye uzoefu na Nokia Lumia

    lumia ndo mimi Naitumialumia 510 net iko fast na betr inategemeana na matumizi
  13. N

    msaada msaada jamani

    Usijari utapokelewa make wapo walimu bado awnapewa ajira wapo mitaani
  14. N

    TAMISEMI imetoa tamko kuhusu ajira uwalimu awamu ya pili

    Chanzo kutoka bungen walio kosa ajira amesema wameisha orodhesha majina na wamesubilia kibali kikipatikana majina yatatoka msijali bado mnafikiliwa
  15. N

    Mbona tamisemi awatowi tamko kwa walimu waliokosa ajira

    ni15/5/2014 Kuna watu walisahaulika katika ajira mpya ya walimu likini tamisemi awatowi tamko la mwisho kwa wahanga hao kama Kuna mtu yupo dar au dom naomba aende ofisi zao aone kulikoni
Back
Top Bottom