Recent content by nusu kaputi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Serikali na TEC chukueni hatua za haraka kuinusuru hospitali Bugando baada ya aliyekuwa mkurugenzi mkuu kutolewa

    Serikali yetu sikivu ikiongozwa na Raisi Samia Suluhu ,Chukueni hatua za haraka mkishirikiana na Baraza la Maaskofu TEC, Wagonjwa tunaoumia , Madactari wameanza kuomba rushwa na kuongea lugha mbaya ya vitisho Mfano siku nimepeleka mama yangu kutibiwa nilikutana na Dactari wa kinamama...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Urudishwe utaratibu wa Rais kuhutubia taifa, machafuko na maafa yasiyokuwa na majibu yanaongeza sana

    Tanzania kwa sasa imekuwa ni nchi yenye matukio mengi sana, masuala ya ubakaji, watu kufa au kuugua bila taarifa, Afya kuwa ovyo n.k Nchii hi msemaji mkuu ni Rais, kwanini usirudi utaratibu Rais wa nchi kuhutubia taifa kila mwezi? Hii italeta dira ya nchi na taswira nzima na huenda hata...
  3. N

    JamiiForums Tanzania NHIF yasitisha Mkataba na Vituo vya Hospitali ya Aga Khan

    Hili Swala Rais hajapata washauri wazuri nchi Iko vibaya kifedha, siyo aga Khan tu tunakoelekea HUDUMA ya afya inaenda kuwa mbovu
  4. N

    JamiiForums Tanzania NHIF yasitisha Mkataba na Vituo vya Hospitali ya Aga Khan

    Aenda na Hela keshi akiwa na kabima lake ka NHIF Hapati huduma
  5. N

    JamiiForums Tanzania NHIF yasitisha Mkataba na Vituo vya Hospitali ya Aga Khan

    Kweli kabisa Aga Khan ni hospital ambayo Iko Kwenye Joint commission international accreditation,hata muhimbili na JCI Hawana JCI, anaifututia bima maana yake hujaikomesha ila umepumzisha na upuuzi wako uliza mmarekani yoyote akitaka kutibiwa,ulaya nzima ni mpaka hospitali yenye acredation ya JCI
  6. N

    JamiiForums Tanzania NHIF yasitisha Mkataba na Vituo vya Hospitali ya Aga Khan

    Aga Khan ukiwa na NHIF KWA KUFUPI HUTUBIWI BIMA WAMESHAJITOA MPAKA UTO HELA CASH SIYO KADI YA BIMA
  7. N

    JamiiForums Tanzania NHIF yasitisha Mkataba na Vituo vya Hospitali ya Aga Khan

    Hii Tanzania ipo siku Mungu atatuokoa kupitia mikononi ya Hawa wararushwa
  8. N

    JamiiForums Tanzania NHIF yasitisha Mkataba na Vituo vya Hospitali ya Aga Khan

    Fire
  9. N

    JamiiForums Tanzania NHIF yasitisha Mkataba na Vituo vya Hospitali ya Aga Khan

    MFUKO WA BIMA YA AFYA UNAZIDI KUWA MZIGO KATIKA AFYA YA MTANZANIA ,UMESITISHA HUDUMA YA AFYA AGA KHAN HOSPITAL YENYE HAZI YA KIMATAIFA
  10. N

    JamiiForums Tanzania Huduma za matibabu zimeshuka kiwango, zimekuwa mbovu, na ni kero kutokana na maboresho ya bima kwa kushusha bei serikali chukueni hatua

    Unaposhusha bei hakikisha hata bei ya soko ya hizo Dawa zimeshuka,Vifaa vimeshuka,Umeme umeshuka,ushuru umeshika, material ujenzi yameshuka,maji yameshuka(◍•ᴗ•◍)Dollar imeshuka , Ili mteja wa Bima apeta HUDUMA stahili. Kwa ujumla ni kwamba hii nchi tumewapa vibaka Kwenye vitango Muhimu , Hata...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Huduma za matibabu zimeshuka kiwango, zimekuwa mbovu, na ni kero kutokana na maboresho ya bima kwa kushusha bei serikali chukueni hatua

    Habari za Leo wananchi! Hali inayoendelea katika nchi yetu katika HUDUMA afya baada ya kushuswa bei za Bima NHIF kutokana na Maboresha HUDUMA katika hospital zetu zinazidi kuwa mbaya, Hospital zimefunga baadhi ya HUDUMA na kupunguza watumishi wakujitolea. Hali hii imeanza kuonekana Kwa Kasi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

    Mrejesho nilipata mkopo ,lakini baada ya kuandika barua kwenda Kwa Bank manager nikiambatanisha na screen short ya SONGESHA inayonesha Sina Mkopo ,hapo ndio nilipopata mkopo rafiki
  13. N

    JamiiForums Tanzania KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

    SONGESHA kuzuia watu kukopa Kwenye mabank ni ujinga watakoswa wateja hasa watumishi ambao Kwao kulipa siyo inshu
  14. N

    JamiiForums Tanzania KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

    Hata Mimi nimenyimwa na Crdb Kwa sababu ya SONGESHA
Back
Top Bottom