Maelezo yako ni mazuri kabisa ila kwa kitendo cha kupitisha kuoa/ kuolewa kuanzia miaka 9 sio jambo la busara kabisa kwani huo umri ni mtoto mdogo sana kimwili nan hata kiakili bado anahitaji malezi ya mzazi ya kulindwa na kupatiwa ushauri wabmaisha na kupatiwa haki zake za msingi kama mtoto...
Australia kwa maauzi wanayo fanya nakubaliana nao kabisa ni maamuzi mazuri na ya busara sana wameona mitandao ina athari gani kwa vijana wadogo ndio maana wameamua kupitisha hiyo sheria. Watoto wengi siku hizi muda mwingi wanautumia kwenye simu na ndio rahisi kwa wale wachache wajinga wanatumia...
Maelezo yako ni mazim
Uarabu na dini ya Kiislamu ni vitu viwili tofauti sana naomba utofautishe hapo dini haisiki ni maamuzi ya mtu ama watu fulani kutaka jambo ama mambo yao yawe wanavyo taka nasio dini. Kuoza mtoto mdogo haina uhusiano wowote na dini ya kiislamu.
Jambo lililofanywa na hawa watoto ni baba na nilakukemewa vikali ili lisiwahi rudia tena kutetea uovu ni mbaya sana na uharibifu wa Mali ya uma. Hatua zilizochukuliwa ni sahihi na elimu itolewe kwa wakazi wote wanaoishi maeneo jirani na train inapopita. Na sio kurusha mawe tu hata kupita ama...
Serikali ni watu na taasisi ndani ya jamii hasa dola vyenye mamlaka ya kutawala na kufanya maazimio kwa wote katika eneo fulani.
Serikali inatunza na kutekeleza sheria, kanuni na miongozo na kuendesha shughuli muhimu za umma.
Shabaha kuu ya serikali ni kutunza amani na usalama wa raia katika...
Nimesoma maelezo yako vizuri kitu cha kwanza tuwacho ni tabia ya kulaumu serikali kwa kila jambo. Vivuko vyote nchini vinajulikana viko chini ya wizard gani hao ndio watu wa kulaumu kama wahusika na sio serikali. Viongozi na wizara zao wanapewa kazi za kufanya na hawafanyi vizuri lawama...
Hali halisi iko hivi msilalamikie sana viongozi wengine viongozi na wananchi wa Geita nini mmejifanyia nyie wenyewe zaidi ya showoff. Viongozi walioko na waliopita wamefanya nini katika mji huo wanakuja na kuondoka kama wanakuja holiday.
Geita shule nzuri ni za private pale mjini barabara iko...
Ni elimu ya muhimu sana kwa watoto wetu wa sasa uwe umemnunulia simu ama la. Nasema hivyo kwa sababu gani wewe kama mzazi unawea kuwa hujamnunulia kwa sababu mbili. Moja ni kwa sababu huna uwezo na ya pili huoni umuhimu wa mtoto wako kuwa nao vifaa hivi kwa wakati huo.
Uzuri wa kumpa elimu...
Nashukuru sana kwa maelezo yenye ufafanuzi mzuri na wa kueleweka kabisa kwa kila mmoja. Ni haki ya msingi na kutumia demokrasia yako kwa kuchagua kiongozi wako wa ngazi ya serikali za mitaa hadi taifa.
Kwa kuacha kutumia haki yako ya msingi ya kuchagua kiongozi ni moja wapo ya wewe kujirudisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.