Recent content by Nuru Mabrouk

  1. N

    Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

    Nipe number yako ya simu km hutojali . au niandikie kwenye simu yangu hiyo kwenye tangazo.
  2. N

    Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

    Hizo zote sina my dear.
  3. N

    Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

    Kama ni mfanya biashara wa kweli sioni tatizo, wenye nia ya kweli wanauliza maswali na nawajibu, na tunaendelea na process inayofata. Watu wengine kazi kukosoa/dharau na kuvunjana moyo tu, hakuna cha zaidi. WATANZANIA ndio maana hatuendelei.
  4. N

    Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

    zinaweza kuwa 50 hadi 60 Au zaidi (makadirio) maana vikoti vinauzito mkubwa.
  5. N

    Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

    Idadi siwezi kukadiria, mzigo ni wa 45kg, Mitumba nachukulia Dubai
  6. N

    Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

    ladies fashion jacket ni 300,000/=
  7. N

    Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

    Mabalo ni ya 45Kg, Mixed niloyonayo ni ya suruali za kike tu. Bei zinategemea na aina ya nguo unazo hitaji, mfano Men Jeans 480,000? ladies' silk dress 550,000,/= ladies cotton dress 500,000/=
  8. N

    Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

    Kila mtu ana aina ya biashara ya aina yake mwingine anahitaji nguo za watoto, mwingine za kiume mwingine za kike, ninapomwambia mtu njoo whatsapp ni tuweze kuulizana maswali yote hayo, hapa tutajaza uzi na km ukiangalia majibu kuna niloyemjibu bei ni kuanzia 650,000 kuja chini. kila aina...
  9. N

    Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

    Hatuna mabalo ya viatu, kuna mabalo ya nguo za kike, zakiume chache, na hand bags
  10. N

    Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

    Kwa mawasiliano zaidi njoo whatsapp
  11. N

    Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

    Njoo Whatsapp
  12. N

    Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

    Bei zetu zinaanzia 650,000 kuja chini, mabalo ni ya 45kg, Njoo whatsapp
  13. N

    Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

    Ni wauzaji wa mitumba kwa jumla (Mabalo), tunapatikana Mapambano karibu na Zahanati ya kijitonyama, tuna tunatuma Mikoa yote, kwa mawasiliano zaidi piga/Whatsapp number 0715559494. Karibuni sana (Kwa walio serious tu, km hauko serious waachie kwenye nia)
Back
Top Bottom