Recent content by nurein.com

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mkopo Wangu Umepelekwa Chuo Tofauti na Nilichopangwa na tcu

    dah! apo mikojo mitupu,sasa cha kukushauri ndugu chagua moja mkopo au kusoma,kama unataka mkopo nenda ulipopelekwa huo mkopo wako maana hawajamaa wanafanya kusudi ili wakakinge wao waongee kwa herufi kubwa na mabasa wa vyuo
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wale wa udom

    nenda kalipe iyo Direct cost kwanza iye tuition fee adi ujue asilimia ya mkopo man
  3. N

    JamiiForums Tanzania wa udom msaada

    eti wajanja kuna ulazima wa kupima?mana naic mh!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Makongo High School...!!!

    dah ebwana ile day ikua noma
  5. N

    JamiiForums Tanzania Makongo High School...!!!

    dah wana me nakumbuka mengi,kwanza niliwai kua assistant headboy,nakumbuka machata ya akina pap2 na kirukuu ebwana hawajamaa walikua noma
Back
Top Bottom